NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Unaongelea uongo wa mitandao alafu unashare tweet za Wakenya wakicriticize serikali yao. Tuseme unashare uongo ama niaje hujielewi? π πKundustan hamna nchi ilishajifia kitambo sana ila ukiwakuta na uongo kwenye mitandao aiseee utasema ni sawa na Singapore kumbe ni Burundi iliyo changamka
Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.Hivi kati ya Bien na Marioo mgani msanii mkubwa? Usinifanye nicheke. π π
Okay, Marioo is also a bigger artist than Jay Z because he has more followers on IG than Jay Z. Nice logic.Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.
Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
View attachment 3252163View attachment 3252164
Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
View attachment 3252165View attachment 3252166
Ok. Who is big and popular on YouTube?
Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni BienView attachment 3252172
Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
View attachment 3252170
Endelea kuchekacheka sasa.
Marioo is more popular than any music artist in kenya recently.Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.
Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
View attachment 3252163View attachment 3252164
Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
View attachment 3252165View attachment 3252166
Ok. Who is big and popular on YouTube?
Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni BienView attachment 3252172
Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
View attachment 3252170
Endelea kuchekacheka sasa.
Na ukikaa ukawasikiliza wanaweza kukutisha kumbe hawana loloteπ...Tatizo lenu mnaongea sana...
Washaanza kelele wakati Diamond kachukua tuzo ya Africa na yupo katulia! Hapo Bien hana hata album! πππHebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.
Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
View attachment 3252163View attachment 3252164
Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
View attachment 3252165View attachment 3252166
Ok. Who is big and popular on YouTube?
Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni BienView attachment 3252172
Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
View attachment 3252170
Endelea kuchekacheka sasa.
Popular in Tanzania.Marioo is more popular than any music artist in kenya recently.
Huyu marioo nimemjua na huu wimbo wa Bien. Bien anajulikana Africa nzima. Hawa majamaa ni mazebu. Hivi ukipeleka Bien na Marioo Nigeria nani atajua Marioo huko?Popular in Tanzania.
Huu ni uongo, kwanini unapenda kudanganya wewe.?Huyu marioo nimemjua na huu wimbo wa Bien. Bien anajulikana Africa nzima. Hawa majamaa ni mazebu. Hivi ukipeleka Bien na Marioo Nigeria nani atajua Marioo huko?
Ukumbuke unaishi kwenye nyumba ya glass πHivyo vyote vilianza awamu ya JK kuanzia ports,BRT & exports expansion Hadi Sgr.
Yaani hapo kasoro hiyo bwawa la Umeme tuu the rest kazi zilikuwa zinaendelea kitambo ikiwemo kuhamia Dom,so hakuna jipya.
Kwani mradi gani wewe huoni matunda yake?
Mwisho Samia anafanya hayo ya umaliziaji pamoja na mapya mara 2 zaidi ya ilivyokuwa awali.ππ
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=WRTj3gnJfW3F0yHb6y1NZA&s=19
My Take
Hakuna Awamu imewahi toa Fedha nyingi za maendeleo kama awamu ya 6 across sectors.
View: https://x.com/jokateM/status/1894354122033201590?t=02upYLkTV_xRiJIoQqXCUA&s=19
Huwa wanapenda kujifanya hawawajui wasanii wa Tanzania au wanasiasa, ego ya kishamba. πππHuu ni uongo, kwanini unapenda kudanganya wewe.?
Hata tukiangalia chats za mziki kenya still marioo ako na shabiki wengi in kenya than bien.
Ni ukweli usiofichika kwamba bien alikua mkubwa, hata kabla marioo hajatoka, lakini mziki it is all about rotation. Sahii mziki wa marioo ndio uko kwene peak kuliko mziki wa Bien. Marioo enjoys the big fanbase in kenya than even in Tz. For instance hizi hapa chats za boomplay in kenya. ππΎ
View: https://www.instagram.com/p/DGVUTa6thuY/?igsh=MXd1MG5zaHBybjdzdA==.. Hizi hapa chats za Audiomack. ππΎ
View: https://www.instagram.com/p/DF-3PCnsFUr/?img_index=1&igsh=dGM5dW5mam95MWpt. Album ya marioo βGod sonβ inafanya vizuri kenya kuliko hata Tz.
Usinichurie mimi..kaa ukijua Marioo ni msanii mkubwa sana kuliko huyo Bien wenu.Okay, Marioo is also a bigger artist than Jay Z because he has more followers on IG than Jay Z. Nice logic.
Mama wa kutafuna mifupa iliyomshinda Hadi fisi ππUkumbuke unaishi kwenye nyumba ya glass π
Hata mkiumia hatujali, sisi ndiyo power house of entertainment East and Central Africa utake usitake, huyo Chris brown hata kama asipafom lkn ukimleta Mondi, harmonize, van boy, marioo na wengine, bado wakenya wangeridhika kuliko hata ukimleta Chris.Bien has exposed these frauds. π€£ π€£
Huyo jamaa huwa ni mpumbavu anapenda kujidanganya.Huwa wanapenda kujifanya hawawajui wasanii wa Tanzania au wanasiasa, ego ya kishamba. πππ
Bien ndiyo nani?That Bien had to be featured by a Tanzanian to get that award! Let him release his own music n see how far can he get!
View: https://youtu.be/TUBKJ__MYjc?si=bse4TcFT0pHfQiDt
Wacha nimalize mjadala na hii picha tena.Usinichurie mimi..kaa ukijua Marioo ni msanii mkubwa sana kuliko huyo Bien wenu.
Tena nikwambie, watu wengi huku bongo hawamjui huyo Bien.
Ajijenge kwanza ,aongeze marketing skills ndo aje ashindane na wabongo. Wew Tazama hata YouTube description yake. Hakuna hata link za other sources people could listen his songs.
KIBURI KIBURI na UJUAJI ndo vinawafanya wasanii wengi wa Kenya kutofika mbali.
Kenyans sio creative kwa lolote, wee Tazama hata video zenu, very low quality
Hebu Tafuta hata video moja ya Marioo, video kama Dear ex, unanichekesha, bia tamu, na hiyo ya juzi Why. Halafu linganisha na video za huyo Bien wenu.
Nyinyi mnapenda kujisifia kuwa mko literate, lakin mko better kwenye kukalili western education na kujua kingereza labda but you are not creative at all. Na watz wanawashinda hapo
Marioo anajulikana kimataifa, bien hajulikani hata hapa TANZANIA na hana nyimbo iliyobamba mpaka hapa tunaongea, kwanza mm simjui, honest speaking, naweza nikaapa kwa Mungu baba simjui, mm ni mkatoliki safi siwezi kuwa muongo namna hiyo, nasema simjui huyo msanii simjui kabisa, huwezi mfananisha hata na miso misondo.Hivi kati ya Bien na Marioo mgani msanii mkubwa? Usinifanye nicheke. π π