Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kundustan hamna nchi ilishajifia kitambo sana ila ukiwakuta na uongo kwenye mitandao aiseee utasema ni sawa na Singapore kumbe ni Burundi iliyo changamka
Unaongelea uongo wa mitandao alafu unashare tweet za Wakenya wakicriticize serikali yao. Tuseme unashare uongo ama niaje hujielewi? 😂 😂
 
IMG_6020.jpeg
 
Hivi kati ya Bien na Marioo mgani msanii mkubwa? Usinifanye nicheke. 😂 😂
Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.

Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
Screenshot_20250227-175950~2.png
Screenshot_20250227-175959~2.png

Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
Screenshot_20250227-180018~2.png
Screenshot_20250227-180026~2.png

Ok. Who is big and popular on YouTube?

Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni Bien
Screenshot_20250227-175846~2.png

Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
Screenshot_20250227-175832~2.png

Endelea kuchekacheka sasa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250227-175832~2.png
    Screenshot_20250227-175832~2.png
    1,011 KB · Views: 1
Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.

Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
View attachment 3252163View attachment 3252164

Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
View attachment 3252165View attachment 3252166

Ok. Who is big and popular on YouTube?

Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni BienView attachment 3252172

Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
View attachment 3252170

Endelea kuchekacheka sasa.
Okay, Marioo is also a bigger artist than Jay Z because he has more followers on IG than Jay Z. Nice logic.
 
Marioo is more popular than any music artist in kenya recently.
 
Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.

Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
View attachment 3252163View attachment 3252164

Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
View attachment 3252165View attachment 3252166

Ok. Who is big and popular on YouTube?

Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni BienView attachment 3252172

Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
View attachment 3252170

Endelea kuchekacheka sasa.
Washaanza kelele wakati Diamond kachukua tuzo ya Africa na yupo katulia! Hapo Bien hana hata album! 😂😂😂
 
Huyu marioo nimemjua na huu wimbo wa Bien. Bien anajulikana Africa nzima. Hawa majamaa ni mazebu. Hivi ukipeleka Bien na Marioo Nigeria nani atajua Marioo huko?
Huu ni uongo, kwanini unapenda kudanganya wewe.?

Hata tukiangalia chats za mziki kenya still marioo ako na shabiki wengi in kenya than bien.

Ni ukweli usiofichika kwamba bien alikua mkubwa, hata kabla marioo hajatoka, lakini mziki it is all about rotation. Sahii mziki wa marioo ndio uko kwene peak kuliko mziki wa Bien. Marioo enjoys the big fanbase in kenya than even in Tz. For instance hizi hapa chats za boomplay in kenya. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DGVUTa6thuY/?igsh=MXd1MG5zaHBybjdzdA==.. Hizi hapa chats za Audiomack. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DF-3PCnsFUr/?img_index=1&igsh=dGM5dW5mam95MWpt. Album ya marioo “God son” inafanya vizuri kenya kuliko hata Tz.
 
Hivyo vyote vilianza awamu ya JK kuanzia ports,BRT & exports expansion Hadi Sgr.

Yaani hapo kasoro hiyo bwawa la Umeme tuu the rest kazi zilikuwa zinaendelea kitambo ikiwemo kuhamia Dom,so hakuna jipya.

Kwani mradi gani wewe huoni matunda yake?

Mwisho Samia anafanya hayo ya umaliziaji pamoja na mapya mara 2 zaidi ya ilivyokuwa awali.👇👇

View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=WRTj3gnJfW3F0yHb6y1NZA&s=19

My Take
Hakuna Awamu imewahi toa Fedha nyingi za maendeleo kama awamu ya 6 across sectors.

View: https://x.com/jokateM/status/1894354122033201590?t=02upYLkTV_xRiJIoQqXCUA&s=19

Ukumbuke unaishi kwenye nyumba ya glass 😁
 
Huu ni uongo, kwanini unapenda kudanganya wewe.?

Hata tukiangalia chats za mziki kenya still marioo ako na shabiki wengi in kenya than bien.

Ni ukweli usiofichika kwamba bien alikua mkubwa, hata kabla marioo hajatoka, lakini mziki it is all about rotation. Sahii mziki wa marioo ndio uko kwene peak kuliko mziki wa Bien. Marioo enjoys the big fanbase in kenya than even in Tz. For instance hizi hapa chats za boomplay in kenya. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DGVUTa6thuY/?igsh=MXd1MG5zaHBybjdzdA==.. Hizi hapa chats za Audiomack. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DF-3PCnsFUr/?img_index=1&igsh=dGM5dW5mam95MWpt. Album ya marioo “God son” inafanya vizuri kenya kuliko hata Tz.

Huwa wanapenda kujifanya hawawajui wasanii wa Tanzania au wanasiasa, ego ya kishamba. 😂😂😂
 
Okay, Marioo is also a bigger artist than Jay Z because he has more followers on IG than Jay Z. Nice logic.
Usinichurie mimi..kaa ukijua Marioo ni msanii mkubwa sana kuliko huyo Bien wenu.
Tena nikwambie, watu wengi huku bongo hawamjui huyo Bien.
Ajijenge kwanza ,aongeze marketing skills ndo aje ashindane na wabongo. Wew Tazama hata YouTube description yake. Hakuna hata link za other sources people could listen his songs.
KIBURI KIBURI na UJUAJI ndo vinawafanya wasanii wengi wa Kenya kutofika mbali.
Kenyans sio creative kwa lolote, wee Tazama hata video zenu, very low quality
Hebu Tafuta hata video moja ya Marioo, video kama Dear ex, unanichekesha, bia tamu, na hiyo ya juzi Why. Halafu linganisha na video za huyo Bien wenu.
Nyinyi mnapenda kujisifia kuwa mko literate, lakin mko better kwenye kukalili western education na kujua kingereza labda but you are not creative at all. Na watz wanawashinda hapo
 
Huwa wanapenda kujifanya hawawajui wasanii wa Tanzania au wanasiasa, ego ya kishamba. 😂😂😂
Huyo jamaa huwa ni mpumbavu anapenda kujidanganya.

Soko kubwa la wanamuziki wa kitanzania ni Kenya. Wasanii wa Tanzania mfano Marioo na J melody ni wadogo sana Tz, lakini wakifika kenya they are very big artists, they even top all the biggest stars in their music industry.

Ukitaka kujua hilo fuatilia tu hizo pltform za kuuza mziki huko kwao utajua. Kwa maneno mengine Marioo makes more money through those music platfoms in kenya than any kenyan music artist.
 
Usinichurie mimi..kaa ukijua Marioo ni msanii mkubwa sana kuliko huyo Bien wenu.
Tena nikwambie, watu wengi huku bongo hawamjui huyo Bien.
Ajijenge kwanza ,aongeze marketing skills ndo aje ashindane na wabongo. Wew Tazama hata YouTube description yake. Hakuna hata link za other sources people could listen his songs.
KIBURI KIBURI na UJUAJI ndo vinawafanya wasanii wengi wa Kenya kutofika mbali.
Kenyans sio creative kwa lolote, wee Tazama hata video zenu, very low quality
Hebu Tafuta hata video moja ya Marioo, video kama Dear ex, unanichekesha, bia tamu, na hiyo ya juzi Why. Halafu linganisha na video za huyo Bien wenu.
Nyinyi mnapenda kujisifia kuwa mko literate, lakin mko better kwenye kukalili western education na kujua kingereza labda but you are not creative at all. Na watz wanawashinda hapo
Wacha nimalize mjadala na hii picha tena.

images-60-jpeg.3250305

Alafu nisign na hii video kwenye tweet.

View: https://twitter.com/Sativa255/status/1894874327079887358
 
Hivi kati ya Bien na Marioo mgani msanii mkubwa? Usinifanye nicheke. 😂 😂
Marioo anajulikana kimataifa, bien hajulikani hata hapa TANZANIA na hana nyimbo iliyobamba mpaka hapa tunaongea, kwanza mm simjui, honest speaking, naweza nikaapa kwa Mungu baba simjui, mm ni mkatoliki safi siwezi kuwa muongo namna hiyo, nasema simjui huyo msanii simjui kabisa, huwezi mfananisha hata na miso misondo.
 
Back
Top Bottom