Usinichurie mimi..kaa ukijua Marioo ni msanii mkubwa sana kuliko huyo Bien wenu.
Tena nikwambie, watu wengi huku bongo hawamjui huyo Bien.
Ajijenge kwanza ,aongeze marketing skills ndo aje ashindane na wabongo. Wew Tazama hata YouTube description yake. Hakuna hata link za other sources people could listen his songs.
KIBURI KIBURI na UJUAJI ndo vinawafanya wasanii wengi wa Kenya kutofika mbali.
Kenyans sio creative kwa lolote, wee Tazama hata video zenu, very low quality
Hebu Tafuta hata video moja ya Marioo, video kama Dear ex, unanichekesha, bia tamu, na hiyo ya juzi Why. Halafu linganisha na video za huyo Bien wenu.
Nyinyi mnapenda kujisifia kuwa mko literate, lakin mko better kwenye kukalili western education na kujua kingereza labda but you are not creative at all. Na watz wanawashinda hapo