I have lived my all life close to Catholic Church, my family has been Catholics since the 19’s. I know everything about Catholic and I can tell when you are lying and telling the truth. I know you are bitter that I exposed your lies.Victor, mimi sio muongo na siwezi kudanganya maisha nimeishi. Kupinga nilicho andika ni wazi kuwa wewe ndio muongo na huna uelewa juu wa yale mambo.
Ni kweli kabisa lakini inakuhusu nini? Mbona unaweka kichwa chako kwa mambo ya watu mganga na umbwaSwine,kutoka kukataa sio ww,mpaka kudai picha zinazopostiwa za zamani,***** unaonekana una dhiki balaa,sijui kama hata unaweza kuafford milo 2 hapo kibera
Kichamganyikiwa kwingine bhana. 🤣🤣🤣The African leading Hotel is in Kenya. Actually top 10 hotels in East Africa are all in Kenya.
🤣 🤣 🤣 you've decided not to entertain foolishness anymore.Wacha nimalize mjadala na hii picha tena.
Alafu nisign na hii video kwenye tweet.
View: https://twitter.com/Sativa255/status/1894874327079887358
Ok, ebu tuambie the leading hotel in Africa is from where? Unapinga kila kitu wakati hakuna kitu huwa unajua.Kichamganyikiwa kwingine bhana. 🤣🤣🤣
Mimi ndio niseme na sio wewe.? 🤣🤣🤣 nani ameleta hiyo discussion.?Ok, ebu tuambie the leading hotel in Africa is from where? Unapinga kila kitu wakati hakuna kitu huwa unajua.
Tena nyingi sanaa ilipaswa iwe japo 10k+wakitaka lifanikiwe kwa wakat wapunguze bei ya umeme na waondoe kodi au kupunguza kodi kwenye gas accordingly nje ya hapo tunatwanga maji kwenye kinu
refilling gas of 6kg ni around 25,000 bado ni pesa nyingi kwa maisha ya mtanzania
Wewe umepanic, tulia kwanza.Wazee wa tandale ni nani anataka kuona picha yangu? Mbona mnahangaika kuitafuta online si muulizie tu, which primitive idiot will go first?
Umekula?Ni kweli kabisa lakini inakuhusu nini? Mbona unaweka kichwa chako kwa mambo ya watu mganga na umbwa
Haya Pingana na hii basi.Mimi ndio niseme na sio wewe.? 🤣🤣🤣 nani ameleta hiyo discussion.?
According to mama nginaThe African leading Hotel is in Kenya. Actually top 10 hotels in East Africa are all in Kenya.
I have lived my all life close to Catholic Church, my family has been Catholics since the 19’s. I know everything about Catholic and I can tell when you are lying and telling the truth. I know you are bitter that I exposed your lies.
Who said lived in? Sasa umekuwa mtumishi for only 4yrs yet unataka kupingana na Mimi mwenye amekuwa alter boy from Class 3 to Form 2? Those are 10 good year against yours 4. So keep quiet whenever I speak, okay?That;s stupidity right there. I lived in
Mkurugenzi wa St, Francis de Sales kwa muda sasa ni Mwanafunzi mwenzetu Zachariah
Hii ilikuwa intake ya kwanza na sisi ya tatu chini ya Wahindi waanzilishi wa shirika hili la Ufaransa, Tanzania. Achilia mbali maisha yangu ya utumishi kanisani tangu darasa la 3 mpaka la saba.
View: https://youtu.be/dKeB9365K8I
Rudia nilichoandika wewe mwehu!Who said lived in? Sasa umekuwa mtumishi for only 4yrs yet unataka kupingana na Mimi mwenye amekuwa alter boy from Class 3 to Form 2? Those are 10 good year against yours 4. So keep quiet whenever I speak, okay?
Sasa ukiwa na Awards ndio inaondoa fact ya kuwa Zanzibar ina more 5 star hotels than any other place in East and central Africa?
Zanzibar in five star hotel nyingi kuliko Kenya and Uganda zikiuunganishwa
Peleka ujinga wako mbali. Bien came, saw and conquered all your Artists in your own Country.Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.
Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
View attachment 3252163View attachment 3252164
Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
View attachment 3252165View attachment 3252166
Ok. Who is big and popular on YouTube?
Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni BienView attachment 3252172
Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
View attachment 3252170
Endelea kuchekacheka sasa.
Nairobi alone has more 5* Hotels kuliko Tanzania nzima, unless hiyo Zanzibar iko nchi nyingine na sijui. Alafu hizo hotels za Zanzibar can’t be compared with top hotels in Kenya.Zanzibar in five star hotel nyingi kuliko Kenya end Uganda zikiuunganishwa