usitudanganye hapa kenge ww hakuna floors za 20 hapo buxton wala hakuna ujenzi wa 20 floors hvi ww unajua 20 floors hua ujenzi unajengwaje???πππππOver 12 towers of 20 floors each!!! ππππ
Buxton Point phase 2 in Mombasa is taking shape
View attachment 3253384View attachment 3253385
clinker and cement ni baba na mtotoKilikuwa kinazalisha clinker tu saahii kinazalisha cement!
uchafu mtupu yani hakuna mji wa hovyo kama mombasa ndani ya east africa ππMombasa city
View attachment 3253395
Acha mbio ARM ilikuwa na kiwanda cha cement kenya na clinker Tanga! Huaxin walinunua Maweni Limestone ambayo inatengeneza chokaa inayotengeneza cement! Sasa hivi Maweni limestone inatengeneza saruji pia!clinker and cement ni baba na mtoto
yani ukizungumzia clinker ni over 70% ya makinikia yanayozalisha cement so huwez kuzalisha clinker pekee ukawa huna ndoto ya kuzalisha cement
nishakuelewa ila nakwambia hvi huwez kuzalisha clinker kama huna ndoto ya kuzalisha cement labda unambie tu kua hawakufunga mitambo ya kuzalisha cement full stopAcha mbio ARM ilikuwa na kiwanda cha cement na clinker Tanga! Huaxin walinunua Maweni Limestone ambayo inatengeneza chokaa inayotengeneza cement! Sasa hivi Maweni limestone inatengeneza saruji pia!
Huaxin Cement commissions grinding system at Maweni Limestone plant in Tanzania
Huaxin Cement commissions grinding system at Maweni Limestone plant in Tanzaniawww.globalcement.com
Hapa hakuna foundation hata ya 10 floors buda let alone hizo 20 floors. π€£π€£π€£Over 12 towers of 20 floors each!!! ππππ
Buxton Point phase 2 in Mombasa is taking shape
View attachment 3253384View attachment 3253385
Rudia sasa kwa upole. Only this project, and Mombasa overtakes Darusitudanganye hapa kenge ww hakuna floors za 20 hapo buxton wala hakuna ujenzi wa 20 floors hvi ww unajua 20 floors hua ujenzi unajengwaje???πππππ
Sasa unabisha clinker ilikuwa inazalishwa na kupelekwa ARM cement Kenya kuzalisha cement! Kiwanda cha cement Kenya kimeuzwa pia kwa National cement company!nishakuelewa ila nakwambia hvi huwez kuzalisha clinker kama huna ndoto ya kuzalisha cement labda unambie tu kua hawakufunga mitambo ya kuzalisha cement full stop
Ugliest mabanda, yapo holela tu no order, detention unitsRuiru affordable housingView attachment 3253451
Sasa kwenye hii renda kuna jengo gani hapo ni 20 floors.? π€£π€£π€£Rudia sasa kwa upole. Only this project, and Mombasa overtakes Dar
View attachment 3253453View attachment 3253454View attachment 3253455
hio phase 2 buxton ni three 3 floors ππHapa hakuna foundation hata ya 10 floors buda let alone hizo 20 floors. π€£π€£π€£
hvi ww foundation ya 20 floors unaijua inavokaa?? πππππRudia sasa kwa upole. Only this project, and Mombasa overtakes Dar
View attachment 3253453View attachment 3253454View attachment 3253455
Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.Kilikuwa kinazalisha clinker tu saahii kinazalisha cement!
Ni ukweli mkuu, saruji za huanxi nimekutananazo bunda on my way to musoma 2023 na nilipostigi humu nakumbuka.Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.
Alichozindua Mh Rais ni upanuzi wa kiwanda.
Hujakutana na saruji za Huaxin mtaani mzee!
View: https://x.com/mbelwak/status/1463061431960563714?s=46
Huna hela tu, ungekua nazo za kuzidi hii ungeona kama a coffee price ila wakenya hamna hela wala hata artistic talent kufika hizi levels, mngekua huku hata Chris brown asingeditch show ila sasa event planning industry kwenu ni mfu mmejifungia kwenye mabanda ya bati mnasema mnataka simplicity πππHuo upuzi wa kiafrika ndio unataka tuige? Huu upuzi utaupata nchi za ushuzi kama Nigeria na Tanzania. A wedding should be as brief as possible. Invite less than 50 people and get your wife.