Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilikuwa kinazalisha clinker tu saahii kinazalisha cement!
clinker and cement ni baba na mtoto
yani ukizungumzia clinker ni over 70% ya makinikia yanayozalisha cement so huwez kuzalisha clinker pekee ukawa huna ndoto ya kuzalisha cement
 
clinker and cement ni baba na mtoto
yani ukizungumzia clinker ni over 70% ya makinikia yanayozalisha cement so huwez kuzalisha clinker pekee ukawa huna ndoto ya kuzalisha cement
Acha mbio ARM ilikuwa na kiwanda cha cement kenya na clinker Tanga! Huaxin walinunua Maweni Limestone ambayo inatengeneza chokaa inayotengeneza cement! Sasa hivi Maweni limestone inatengeneza saruji pia!
 
Acha mbio ARM ilikuwa na kiwanda cha cement na clinker Tanga! Huaxin walinunua Maweni Limestone ambayo inatengeneza chokaa inayotengeneza cement! Sasa hivi Maweni limestone inatengeneza saruji pia!
nishakuelewa ila nakwambia hvi huwez kuzalisha clinker kama huna ndoto ya kuzalisha cement labda unambie tu kua hawakufunga mitambo ya kuzalisha cement full stop
 
Ruiru affordable housing
1000010363.jpg
 
nishakuelewa ila nakwambia hvi huwez kuzalisha clinker kama huna ndoto ya kuzalisha cement labda unambie tu kua hawakufunga mitambo ya kuzalisha cement full stop
Sasa unabisha clinker ilikuwa inazalishwa na kupelekwa ARM cement Kenya kuzalisha cement! Kiwanda cha cement Kenya kimeuzwa pia kwa National cement company!


View: https://www.instagram.com/reel/DFsGWK7O9bO/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

 
Hapa hakuna foundation hata ya 10 floors buda let alone hizo 20 floors. 🀣🀣🀣
hio phase 2 buxton ni three 3 floors πŸ˜‚πŸ˜‚
nilikuwepo hapo juzi tu sijui atanidanganya nn mm huyo, anashangilia hio ilikua mali ya umma sasa hvi inamilikiwa na watu wachache binafsi akiwemo shahbal na mwenzie joho
 
Huo upuzi wa kiafrika ndio unataka tuige? Huu upuzi utaupata nchi za ushuzi kama Nigeria na Tanzania. A wedding should be as brief as possible. Invite less than 50 people and get your wife.
Huna hela tu, ungekua nazo za kuzidi hii ungeona kama a coffee price ila wakenya hamna hela wala hata artistic talent kufika hizi levels, mngekua huku hata Chris brown asingeditch show ila sasa event planning industry kwenu ni mfu mmejifungia kwenye mabanda ya bati mnasema mnataka simplicity πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://www.instagram.com/reel/DGleEUCsb15/?igsh=YzZwYnR6azZpODJy
 
Back
Top Bottom