Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijamaa kinakomaa kutuelezea eti hatujastaarabika, kumbe the big problem kwao ni hela. na wapo hapa kujipiga kifua kuhusu pesa. πŸ˜†

Yo, let me tell you something my brother, bongo watu wanazo pesa. Na hatuna jambo dogo. Kuanzia washua hadi uswahilini huko. πŸ˜…
 
Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivyo vitu zote huwa wanashangiliaga ni za foreigners mostly, events za kwao huezi ona, them all broke 🀣🀣🀣. Ndio mana anatafuta kivuli ya simplicity.

They even brag of speaking english. Ndio wangekua na events za kifahari huko kwao wangepost kila baada ya dakika mbili.
 
Kuna mkenya nilimuambia kama unataka kuona kipato cha watanzania ingia instagram kwenye pages za event planners, ujenzi, decor na viwanja vya bata aliingia akaniambia watanzania tunaowafikiria sio waliopo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anasema watanzania hamjui bragging sababu haiwezekani mna maisha hayo na hatuoni fujo social media nikamwambia hatuna ushamba wa maisha πŸ˜… wengi wa wakundustan hawana generational wealth yaani unakuta kama sio mwanasiasa basi ni mchimba chumvi mmoja kazifuma uzeeni basi anataka iwe breaking news worldwide wakati Tanzania unaweza kuta mtu huko kijijini boya boya tu lakini ana utajiri wa hundreds of millions na haoneshi anaogopa sometimes πŸ˜…
 
Hutawahi kuona hili jambo bongo
Kwanza kitendo cha mbunge kutangaza tu hivi ataporomoshewa matusi na hiyo post ataifuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ namuonaga yule chief godlove anasema weka number yako nikutumie hela wabongo wanaishia kumtukana tu wanaowekaga number ni wakenya ndio wanagalagala comment section hizo teni teni ziwafikie πŸ˜‚πŸ˜‚
 
labda point yangu hukuielewa nilikwambia kugawa mitungi bure sio kuondoa tatizo, tatizo ni bei ya umeme ipungue sana na tozo za gas zipunguzwe kwa kias kikubwa full stop nje ya hapo tunatwanga maji kwenye kinu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani hapo umesoma wamesema watakuja na mpango gani?
 
ChoiceVariable vp naona ndoto ya karikaoo kufanya biashara usiku imekufa au hua tunakurupuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3253397
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
 
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
Hapo mkuu unakosea.

Wateja huwa wanakujaga kununua usiku, na mizigo huwa inaingia usiku pia, 24/7 ni muarobaini wa kupiga pesa kk. Wakitoa ulinzi wa kutosha, uchumi utakua sana. Kariakoo muda hautoshi kaka.
 
usitudanganye hapa kenge ww hakuna floors za 20 hapo buxton wala hakuna ujenzi wa 20 floors hvi ww unajua 20 floors hua ujenzi unajengwaje???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unajua nini kuhusu buildings za 20 floors? Kuna any 20 floor in Tanzania being built utuonyeshe?

Buxton is 20 buildings each 20 floors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…