Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo Magu kumalizia kujenga miradi iliyosua sua kwenye 2 - 10% hapati credit ila Samia akimalizia miradi iliyofika 30-70% anapata credit, huu ndo ujuha sasa.
Wanaopinga credits Kwa Samia ni nye Wafuasi wa Mwendazake mkiongizwa na ichoboy01 na The best 007

Mnasahau kwamba historia inaandikwa na washindi πŸ˜‚πŸ˜‚

Watu dizaini yenu ndio mlikuwa mnasema hakuna kitu wengine walifanya wakati.mnajua ni up go na upotoshaji
 
Kwanza gari za IT tu hapo dar port ni nyingi mno,juzi kati niliona kuna IT hadi za zimbabwe,kwa siku kimara gari za IT uwa zinapita zaidi ya 100,zambia,malawi,zimbabwe,congo,rwanda na burundi hawa wote wanatumia dar port kwa 70%,kunyan data zao za kupikwa ni kama wanajitia finger wenyewe na kunusa
 
Mfugale ujenzi ulianza mwaka 2015 mwisho mwa Jakaya Kwa hela za JAICA so sio Magu.

Sawa kijazi ila njia 8 amemaliza Samia sawa na Magufuli stendi 🀣🀣
Siku magufuli anazindua ujenzi wa mfugale flyover 2016 nilikuepo na wakati ujenzi umekamilika nilikuepo na kijazi flyover pia nilikuepo hakukuwa na ujenzi wowote wa flyover pale tazara kabla ya awamu ya tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…