Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa hakuna sehemu nyingine zaidi ya hii? Maana picha inarudiwa since 2017 mpaka leo picha ni hiyo hiyo moja, ukitoka hapo unaweka zile ghorofa za udongo na banduli mtambo kwisha habari.
Wewe watchman Mombasa isikukoseshe usingizi bure. Hakuna mji wa kulinganisha na Mombasa hapo Tanganyika ukitoa Dar is slum
Ba.jpg
images - 2025-02-10T201905.662.jpeg
images - 2025-02-10T201036.347.jpeg
images (3).jpeg
images (2).jpeg
images - 2025-03-03T181108.590.jpeg
images - 2025-03-03T181044.551.jpeg
images - 2025-03-03T180641.168.jpeg
images - 2025-03-03T180412.413.jpeg
images - 2025-03-03T180320.500.jpeg
IMG_20250204_142838.jpg
 
Hii niliona maeneo ya Mombo,Korogwe jumapili ile ya 23/02
bora hata ww uliona kwa macho mm nilishuhudia na viungo vyote vya mwili 😂😂😂

jamaa yangu akaniuliza mbona nguvu nyingi inatumika nikamwambia ukiona unasifiwa sana basi jitathmini 😂😂😂
 
what do you mean by saying bongo is in denial? Most of us here do not condone CHAWAISM....Not at all except few idiots in here which i;ve dumped in my ignore bin.
You and Chamoto have credibility in most cases … but do you realize one of your post likes was Best 007… 🤣🤣… yet hes the number 1 sycophant of CCM .. extremist Ujamaa Youthwinger…😄😄
 

watu hawataki mitungi ya gesi watu wanataka gesi yenyewe mzeee

hio mitungi wanayopewa hao wachche wanaiuza mitaani huku

watu wanataka gesi bei ipunguzwe sana tena, umeme ushuke sana tu ili wasiogope kutumia umeme au gas wakat wakupika na kwa shughuli zingine za kujenga taifa

unagawa mitungi ya gas alaf inauzwa mitaani bei za nyanya 😂😂😂😂😂😂
 
Kwa hiyo Magu kumalizia kujenga miradi iliyosua sua kwenye 2 - 10% hapati credit ila Samia akimalizia miradi iliyofika 30-70% anapata credit, huu ndo ujuha sasa.
yani yeye anataka ile legacy alioiacha mwamba ife wakat miradi mikubwa kwenye nchii hvi sasa yote ni ya yule yule mwamb mwenye maamuzi magumu😂😂

hata hawa wakenya ukiwauliza leo mtu aloifufua tanzania kuogopeka africa watakwambia ni magu na sio kenya tu bali africa nzima wanajua, sasa yeye anataka kutufanya watu wote majuha humu ndani 😂😂😂😂😂😂
 
hzo picha nzuri nzuri munazitoa nyali na nyali inabebwa na hotels and appartment

hii nipicha ikionesha nyali na nje ya nyali bahat nzuri hapa munaongea na watu wenye akili zao 😂😂😂😂

zoom in zoom out 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
IMG_4914.png
IMG_4915.png
 
same mombasa before some lisptics and eye shadow 😂😂😂😂

unapost angle kwa angle za CBD na nyali kwisha kulikobakia kote ni ushuzi na uchafu😂😂😂😂

IMG_4909.png
IMG_4910.png
IMG_4911.png
IMG_4912.png

IMG_4916.png
IMG_4917.png

IMG_4911.png
IMG_4912.png
 
Back
Top Bottom