Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Seem mimba waliyokupa JWTZ si ya mchezo mchezo.

Upo nao kila mahali.

Nyie mna jeshi gani wakati nchi haipo salama kila kukicha vifo vya Bandits?
Jeshi letu ndio strongest in the region, for your information banditry sio kazi ya KDF. Hiyo ni tu kazi ya polisi wa kawaida. KDF wapo kule Somalia dealing with Al Shaabab properly.

Your weak army on the other hand wamepigwa vita wakakimbilia Rwanda😂😂👇👇👇

View: https://x.com/Kivuinfo24/status/1896110109677498681
 
Mombasa hakuna sehemu nyingine zaidi ya hii? Maana picha inarudiwa since 2017 mpaka leo picha ni hiyo hiyo moja, ukitoka hapo unaweka zile ghorofa za udongo na banduli mtambo kwisha habari.
Picha imepigwa juzi wewe unaropokwa tu. Mombasa is a proper city with all amenities of a big city.

a-drone-shot-over-the-beach-of-the-coastal-part-of-mombasa-kenya-at-sunrise-2M7H5B2.jpg
 
Jeshi letu ndio strongest in the region, for your information banditry sio kazi ya KDF. Hiyo ni tu kazi ya polisi wa kawaida. KDF wapo kule Somalia dealing with Al Shaabab properly.

Your weak army on the other hand wamepigwa vita wakakimbilia Rwanda😂😂👇👇👇

View: https://x.com/Kivuinfo24/status/1896110109677498681

Strategies yaani unajiita strategies with zero battle win?

Any operation mlifanya?

Eti Al Shabaab na walilipua chumbani.kwenu mkaishia kujificha.

Polisi dhaifu, Jeshi ovyo la wezi.

Jeshi gani nchi yenyewe wameshindwa? So walivyokua wanakuja kutumia kutuliza maandamano walikua wa kazi gani?
 
Alafu wewe kenge wamepigwa wapi hapo, au ndio kuchukua propaganda za Rwanda ukiongeza na mimba yako ndio ujifurahishe?
 
Somalia is now safe thanks to KDF. Who would think that KDF will defeat a militia that overwhelmed USA in 2002?

Who knew Kismayu will be taken over by KDF? Who knew KDF will make a federal state inside Somalia with the President selected by Kenyan leaders?

Now tell us how your army wamelemewa pale KDF wanatoroka mbio.

View: https://youtu.be/sBb-Oq3gzrk?si=xy38s6StKki-NF95
 
Kwani wale waliuawa Juzi hawakuwa your weak army? Wale wenye waliinua white flag si walikuwa watanzania? Yani mnapigwa hadi muinue bendera nyeupe?😂
 
Somalia is now safe thanks to KDF. Who would think that KDF will defeat a militia that overwhelmed USA in 2002?

Who knew Kismayu will be taken over by KDF? Who knew KDF will make a new country inside Somalia with the President selected by Kenyan leaders?

Now tell us how your army wamelemewa pale KDF wanatoroka mbio.

View: https://youtu.be/sBb-Oq3gzrk?si=xy38s6StKki-NF95

Since when kismayo ni new country.? Au mwenzetu unaota.? 🤣🤣🤣
 
Somalia is now safe thanks to KDF. Who would think that KDF will defeat a militia that overwhelmed USA in 2002?

Who knew Kismayu will be taken over by KDF? Who knew KDF will make a federal state inside Somalia with the President selected by Kenyan leaders?

Now tell us how your army wamelemewa pale KDF wanatoroka mbio.

View: https://youtu.be/sBb-Oq3gzrk?si=xy38s6StKki-NF95

Wacha majigambo hamna chochote mlichifanya! Kama si msaada wa the US kenya ingekuwa imechukuliwa na Alshaabab!
 
Jeshi letu ndio strongest in the region, for your information banditry sio kazi ya KDF. Hiyo ni tu kazi ya polisi wa kawaida. KDF wapo kule Somalia dealing with Al Shaabab properly.

Your weak army on the other hand wamepigwa vita wakakimbilia Rwanda😂😂👇👇👇

View: https://x.com/Kivuinfo24/status/1896110109677498681

Kumbe M23 rebels walishapiga 'strongest army in the region' kule DRC kama burukenge!? 🤣🤣🤣🤣
I had no idea
 
Wacha majigambo hamna chochote mlichifanya! Kama si msaada wa the US kenya ingekuwa imechukuliwa na Alshaabab!
Msaada gani wewe libaba lizee? Can you prove these points on Kenya's involvement in liberating Somalia government? Do you have an idea that even Somalia president used to rule Somalia from Nairobi, and that he even held his cabinet meetings in Nairobi?

Get informed on international relations matters before yapping like a toddler here yet you are a retireee living off pension!
 
Back
Top Bottom