Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo Magu kumalizia kujenga miradi iliyosua sua kwenye 2 - 10% hapati credit ila Samia akimalizia miradi iliyofika 30-70% anapata credit, huu ndo ujuha sasa.
Wanaopinga credits Kwa Samia ni nye Wafuasi wa Mwendazake mkiongizwa na ichoboy01 na The best 007

Mnasahau kwamba historia inaandikwa na washindi 😂😂

Watu dizaini yenu ndio mlikuwa mnasema hakuna kitu wengine walifanya wakati.mnajua ni up go na upotoshaji
 
Wanapika Data sana hao. Kwanza walisubiri waone figure za Tanzania. Ila ukweli wanaujua wenyew.

Hata Data za Mombasa port sio za kweli. Dar ukiangalia kwenye ships in port and expected ships. Dar port huwa ina ships nyingi na busier kuliko Mombasa siku zote. Lakin wakitoa Data wanasema wahudumia tani sijui ngap huko. Ni waongo waongo tu. Tushawazoea
Kwanza gari za IT tu hapo dar port ni nyingi mno,juzi kati niliona kuna IT hadi za zimbabwe,kwa siku kimara gari za IT uwa zinapita zaidi ya 100,zambia,malawi,zimbabwe,congo,rwanda na burundi hawa wote wanatumia dar port kwa 70%,kunyan data zao za kupikwa ni kama wanajitia finger wenyewe na kunusa
 
Mombasa

Image
Mombasa hakuna sehemu nyingine zaidi ya hii? Maana picha inarudiwa since 2017 mpaka leo picha ni hiyo hiyo moja, ukitoka hapo unaweka zile ghorofa za udongo na banduli mtambo kwisha habari.
 
Mfugale ujenzi ulianza mwaka 2015 mwisho mwa Jakaya Kwa hela za JAICA so sio Magu.

Sawa kijazi ila njia 8 amemaliza Samia sawa na Magufuli stendi 🤣🤣
Siku magufuli anazindua ujenzi wa mfugale flyover 2016 nilikuepo na wakati ujenzi umekamilika nilikuepo na kijazi flyover pia nilikuepo hakukuwa na ujenzi wowote wa flyover pale tazara kabla ya awamu ya tano
 
Back
Top Bottom