Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans used the word Dinga in sheng enzi zile, after tumeiacha ndio mnaichukua mnaigeuza ndinga. Sikuizi we say Ndai or MOTi. Ngoja tuachane na hizo tena mzichukue mseme sii sheng.
Nakumbuka ndinga (ikimaanisha gari) tulitumia hili neno 80s. Mzee mwenzangu Geza Ulole anaweza thibitisha hilo.
😀
 
Nakumbuka ndinga (ikimaanisha gari) tulitumia hili neno 80s. Mzee mwenzangu Geza Ulole anaweza thibitisha hilo.
😀
Huwa mnasema mnaongea Kiswahili sanifu, sasa hivi mmekuwa watu wa sheng kisa mnataka kuclaim neno Dinga? 😂 😂
Anyway, sikujua wewe ni mzee hivi mkuu Chamoto. Nilidhani wewe ni kama rika yangu hivi hehee. Meaning wewe ni mzee wa 1970s ama 1960s?
 
Mi ni wa 80's na ni mzee sasa, huoni hata hapa JF na miaka 17 (kabla ya social media)?
Hiyo sheng ni yenu, sisi tunaita lugha ya mtaani, at least that's what we used to call it back in the days.
 
Mi ni wa 80's na ni mzee sasa, huoni hata hapa JF na miaka 17 (kabla ya social media)?
Hiyo sheng ni yenu, sisi tunaita lugha ya mtaani, at least that's what we used to call it back in the days.

So you're not that old. I'm from the 80s too. Latest 80s.
Same thing - sheng, lugha ya mtaani all refer to slang.
But Dinga is a Kenyan word. Just like words like manzi that started here in Kenya but now I see Tanzanians use them.
 
Kenyans used the word Dinga in sheng enzi zile, after tumeiacha ndio mnaichukua mnaigeuza ndinga. Sikuizi we say Ndai or MOTi. Ngoja tuachane na hizo tena mzichukue mseme sii sheng.
Mpumbavu kweli wewe, neno ndinga limetokea kwenye neno karandinga unakuja na hekaya zako hapa za dinga? Hamna influence yoyote Tanzania mpaka tuchukue maneno kutoka kwenu bali ninyi ndio mnachukua maneno kutoka kwetu sababu ya excessive consumption of our artistic contents

Wewe shida yako shule mzee. Neno “ndinga” sio Sheng 🤣🤣🤣 kwenye Kiswahili kuna maneno yanaitwa misimu. Misimu= Ni maneno yanayoanzishwa na kikundi cha watu wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano Yao kama kikundi, mara nyingi maneno haya huzuka na kupotea.

Aina za misimu :-
Misimu ya pekee
Misimu ya kitarafa
Misimu zagao

Vyanzo vya misimu hivi hapa. 👇🏾imebidi nikutie shule 🤣🤣🤣

Hii ni mada ya form two watoto huwa wanajifunza.

Kwa vile elimu ya kenya ni takataka, siwezi kukulaumu.

Hizo maneno za Kiswahili kama Ndinga ni misimu zagao, maneno hayo yalitumika kitambo hapa Tz. They are nowadays out of fashion. Kwenye kwene kiingereza tunaita “archaic”. 🤣🤣🤣

Hivi vitu nikutie shule darasani mzee. 🤣🤣
 
So you're not that old. I'm from the 80s too. Latest 80s.
Same thing - sheng, lugha ya mtaani all refer to slang.
But Dinga is a Kenyan word. Just like words like manzi that started here in Kenya but now I see Tanzanians use them.
Kweli manzi siyo neno letu, mi nililisikia US nilipoanza ku hang out na Wakenya. Ila Ndinga ni letu, kumbuka zamani ilikuwa rahisi sana kujua maneno ya Kenya na Tanzania ila siku hizi ni ngumu kidogo. Muingiliano baina ya watu wetu Afrika mashariki umekuwa mkubwa sana.
 
So you're not that old. I'm from the 80s too. Latest 80s.
Same thing - sheng, lugha ya mtaani all refer to slang.
But Dinga is a Kenyan word. Just like words like manzi that started here in Kenya but now I see Tanzanians use them.
Sasa sisi hatuiti “dinga” sisi tunaita “ndinga” tukimaamisha gari. Na hilo ni neno limeshapitwa na wakati huku bongo sahii. It’s an archaic word. Watu hawatumii hilo neno no more. 🤣🤣🤣
 
Mwaka 1986 huko kijijini kwetu kuna mzee alinunua mandolini watu wakawa wanasema amenunua Ndinga ila wakundurenda hawana misemo ya nyakati
 
Mwaka 1986 huko kijijini kwetu kuna mzee alinunua mandolini watu wakawa wanasema amenunua Ndinga ila wakundurenda hawana misemo ya nyakati
Kila jamii inakuaga na misemo yao ya nyakati, Ndio utaratibu wa lugha yoyote ile duniani..

Shida ya hilo jamaa linalazimisha misemo ya nyakati ya Tz kwamba eti msemo wao (sheng) kitu ambacho ni upumbavu 🤣🤣🤣

Halipo competent na Kiswahili halafu eti linajitia ujuaji na maneno ya ndaani kabisa. 🤣
Jamaa linanifurahishaga hilo, kwasababu ni liongo jinga.
 
Usijidanganye aisee, we're old. Mtu aliyezaliwa kipindi cha Y2K (2000) huyo sasa ameishi a quarter of a century. What does that make you?
I added that old kisa uliposema sisi wazee nilichukulia wewe ni wa early 70s ama late 60s so hilo lilikuwa comparative.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…