Kifaru254
Member
- Nov 27, 2024
- 53
- 125
Unasema haziexist we ndio contractor huko. 🤣🤣. Tulia upangweUnaeleza vitu zenye they do not exist 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema haziexist we ndio contractor huko. 🤣🤣. Tulia upangweUnaeleza vitu zenye they do not exist 🤣🤣🤣
Fala ako in denial, tumewazoea, acceptance stage itafika tu. 😀Unasema haziexist we ndio contractor huko. 🤣🤣. Tulia upangweView attachment 3259583
View attachment 3259573
Kama nakuona vile unavyojisemea mwenyewe😁😎😎Fala ako in denial, tumewazoea, acceptance stage itafika tu. 😀
Kisumu is just a village.. chillFala ako in denial, tumewazoea, acceptance stage itafika tu. 😀
1870 units almost complete. Kitaeleweka tu.Kisumu is just a village.. chill
Dinga is a shenanigans word used in Kenya between 1990’s to 2005. Imefika Tanzania Juzi saa hii kila mtu anataka kuitumia.
The word mkubwa imekuwa ikitumika Kenya since early 2000’s. Siku mtaanza kutumia the word kinembe najua mtasema imeanzia Tanzania pia.
Nakumbuka ndinga (ikimaanisha gari) tulitumia hili neno 80s. Mzee mwenzangu Geza Ulole anaweza thibitisha hilo.Kenyans used the word Dinga in sheng enzi zile, after tumeiacha ndio mnaichukua mnaigeuza ndinga. Sikuizi we say Ndai or MOTi. Ngoja tuachane na hizo tena mzichukue mseme sii sheng.
Hawawezi kukuelewa, hata kidogo......shirika zima hakuna mtu mwenye maono wala upeo.Hawa NHC sio wabunifu kabisa, majengo yao yote yanafanana, waachane na huyo designer mzee anatuharibia taswira, sikatai ni majengo mazuri lkn yote yapo hivyo hivyo wanajenga mwisho wanaweka vioo wamemaliza.
Huwa mnasema mnaongea Kiswahili sanifu, sasa hivi mmekuwa watu wa sheng kisa mnataka kuclaim neno Dinga? 😂 😂Nakumbuka ndinga (ikimaanisha gari) tulitumia hili neno 80s. Mzee mwenzangu Geza Ulole anaweza thibitisha hilo.
😀
Mi ni wa 80's na ni mzee sasa, huoni hata hapa JF na miaka 17 (kabla ya social media)?Huwa mnasema mnaongea Kiswahili sanifu, sasa hivi mmekuwa watu wa sheng kisa mnataka kuclaim neno Dinga? 😂 😂
Anyway, sikujua wewe ni mzee hivi mkuu Chamoto. Nilidhani wewe ni kama rika yangu hivi hehee. Meaning wewe ni mzee wa 1970s ama 1960s?
Enzi za 504😎😎Nakumbuka ndinga (ikimaanisha gari) tulitumia hili neno 80s. Mzee mwenzangu Geza Ulole anaweza thibitisha hilo.
😀
Tulikuwa tunaliita Guruwe.Enzi za 504😎😎
Mi ni wa 80's na ni mzee sasa, huoni hata hapa JF na miaka 17 (kabla ya social media)?
Hiyo sheng ni yenu, sisi tunaita lugha ya mtaani, at least that's what we used to call it back in the days.
Mpumbavu kweli wewe, neno ndinga limetokea kwenye neno karandinga unakuja na hekaya zako hapa za dinga? Hamna influence yoyote Tanzania mpaka tuchukue maneno kutoka kwenu bali ninyi ndio mnachukua maneno kutoka kwetu sababu ya excessive consumption of our artistic contentsKenyans used the word Dinga in sheng enzi zile, after tumeiacha ndio mnaichukua mnaigeuza ndinga. Sikuizi we say Ndai or MOTi. Ngoja tuachane na hizo tena mzichukue mseme sii sheng.
Wewe shida yako shule mzee. Neno “ndinga” sio Sheng 🤣🤣🤣 kwenye Kiswahili kuna maneno yanaitwa misimu. Misimu= Ni maneno yanayoanzishwa na kikundi cha watu wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano Yao kama kikundi, mara nyingi maneno haya huzuka na kupotea.Huwa mnasema mnaongea Kiswahili sanifu, sasa hivi mmekuwa watu wa sheng kisa mnataka kuclaim neno Dinga? 😂 😂
Anyway, sikujua wewe ni mzee hivi mkuu Chamoto. Nilidhani wewe ni kama rika yangu hivi hehee. Meaning wewe ni mzee wa 1970s ama 1960s?
Kweli manzi siyo neno letu, mi nililisikia US nilipoanza ku hang out na Wakenya. Ila Ndinga ni letu, kumbuka zamani ilikuwa rahisi sana kujua maneno ya Kenya na Tanzania ila siku hizi ni ngumu kidogo. Muingiliano baina ya watu wetu Afrika mashariki umekuwa mkubwa sana.So you're not that old. I'm from the 80s too. Latest 80s.
Same thing - sheng, lugha ya mtaani all refer to slang.
But Dinga is a Kenyan word. Just like words like manzi that started here in Kenya but now I see Tanzanians use them.
Sasa sisi hatuiti “dinga” sisi tunaita “ndinga” tukimaamisha gari. Na hilo ni neno limeshapitwa na wakati huku bongo sahii. It’s an archaic word. Watu hawatumii hilo neno no more. 🤣🤣🤣So you're not that old. I'm from the 80s too. Latest 80s.
Same thing - sheng, lugha ya mtaani all refer to slang.
But Dinga is a Kenyan word. Just like words like manzi that started here in Kenya but now I see Tanzanians use them.
Usijidanganye aisee, we're old. Mtu aliyezaliwa kipindi cha Y2K (2000) huyo sasa ameishi a quarter of a century. What does that make you?So you're not that old. I'm from the 80s
Kweli manzi siyo neno letu, mi nililisikia US nilipoanza ku hang out na Wakenya. Ila Ndinga ni letu, kumbuka zamani ilikuwa rahisi sana kujua maneno ya Kenya na Tanzania ila siku hizi ni ngumu kidogo. Muingiliano baina ya watu wetu Afrika mashariki umekuwa mkubwa sana.
Kila jamii inakuaga na misemo yao ya nyakati, Ndio utaratibu wa lugha yoyote ile duniani..Mwaka 1986 huko kijijini kwetu kuna mzee alinunua mandolini watu wakawa wanasema amenunua Ndinga ila wakundurenda hawana misemo ya nyakati
I added that old kisa uliposema sisi wazee nilichukulia wewe ni wa early 70s ama late 60s so hilo lilikuwa comparative.Usijidanganye aisee, we're old. Mtu aliyezaliwa kipindi cha Y2K (2000) huyo sasa ameishi a quarter of a century. What does that make you?