Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maneno kumi ya mkundurenda chukua moja au hata usichukue hata moja
 
typical of Wakunduni! Huwa ni pumbavu kuliko maelezo!

Labda watuonyeshe Qatar airways ikiwa Kisumu airstrip kama hivi ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ


View: https://youtu.be/hr-Gh7nTYbQ?si=-ntlwfvP13yuy1G3
 
Hao wote umetaja tulikuwa nao wote hii thread ikianza. I think uzee na upumbavu wa watanzania ndio ikawafanya waachane na hii thread. But guess what, i was here when ichoboy01 was real ichoboy01, achana na huyu wa siku hizi mwenye ameishiwa content. Active Tanzanians by that time were akina @Anneal, tuusan, kadoda na MOTOCHINI.

During that time watanzania walikuwa wajinga zaidi kuliko vile mko wajinga saa hii. There was a time i remember Anneal asking me kama Nairobi iko beaches and Islands๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

All the Tanzanians during that time hawakujua CBD inamaanisha nini and ichoboy01 and Geza Ulole hawakujua kuhesabu floors za gorofa. Tanzanians have really learned a lot from Kenyans in this thread.

Sasa wewe umejoin thread juzi unataka kutuambia vitu i already know.
 
Karaodinga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

We kenge kwa kujipa umhimu usiohusika uko vizuri
Mbona huwa hampendi kuambiwa ukweli? Jamaa wako alikuwa ansema ati hadi wa leo bqdo wakenya wanatumia the word demu and i have just reminded him that dame is an english word and has nothing associating it with Vumbistan.
 
dar es salaam naona foleni karibu njia zote muhimu ni foleni tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
watu wanaganda kwenye foleni over 2 good hours aisee๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป

hvi mm nauliza swali kulikua na ulazima gani kwenda kufukua barabra zote za mji kwa kisingizio cha kujenga BRT, kwann tusingefata utaratibu wa kila phase atleast phase moja ikifika 70% ndio tunaanza nexe phase, sasa leo tunaenda kufukua barabara zote na ujenzi bado unasuasua kila kona, au ndio tunakimbilia miradi ovyo ovyo ili watu wapige pesa zao mapema kabia uchaguzi?

ilala to buguruni ina miaka 3 toka imefumuliwa na ujenzi umesiamama huoni kinachoendelea zaidi ya foleni kila siku

msimbazi center kwenda kigogo barabara imefumuliwa ina 3 yrs hakuna kitu kinachoendelea so far

etc,


View: https://www.instagram.com/reel/DGvvSJVsv92/?igsh=YzhqZndvOGplOGN3
 
yani ww ulivokondoo umeona urudie jina la mwanaume mara tatu kwneye post yako

mbona unamuhaho au unawashwa ??๐Ÿ˜‚
 
Mbona huwa hampendi kuambiwa ukweli? Jamaa wako alikuwa ansema ati hadi wa leo bqdo wakenya wanatumia the word demu and i have just reminded him that dame is an english word and has nothing associating it with Vumbistan.
Who was that Bongolala who made us laugh the other day?..I posted a Kenyan coffee maker I bought at Walmart and he responded with a sweat shop as a counterattackโ€ฆItโ€™s like a Kenyan responding to their SGR with Maasai curio marketโ€ฆ Tanzanians are mostly cluelessโ€ฆ at least most of them . Very few exceptions and far in between.
 
Miradi ya BRT inasua sua na kukera.. Yeah ni ishu ya financing na procurement nadhani..

WB akitoa hela anakuwa na masharti ya kuchagua mkandarasi anae mtaka.. Sasa wachina huwa wana lobby... Sio mambo ya 10% kwa watendaji wetu maana hela kwao inapita tu.

Kuna kipindi waziri wa maswala ya vibunda alilalamikia hiyo ishu kwamba wanatukopesha na bado hela wanachukua tena kupitia kampuni za nje. Hapa ndani zinabaki chenji chenji tuu. Ndio maana hata kuwabana inakuwa ngumu maana terms zao za payments zinakuwa hazipo wazi.
 
uongo mtupu hio picha alipiga akiwa US pumbavu nyinyi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na sio kua amenunua no way alikua anapiga picha

au unafkiri unaeza kutudanganya sisi?
Sasa Wajackoya aende apige picha kando ya gari US ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ