Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kaka pesa kupita sio tatizo je kama wanakula pamoja na kampuni za kichina na kujenga vitu local local na wao wanakua wako tayar kuwalinda?

ili worldbank na IMf wakupe mikopo masharti yao yakwanza ni waone value for money kwneye miradi ya nyuma waliotoa mikopo yao, na lingine wanaangalia impact ya mradi wenyewe kwa taifa na ww mkopaji ndio una submit kwao kua ushapata mkandarasi na bei ni kias gani na wao wanafanya evaluation kupata uhakika kwa kile ulicho submit

kuna kitu hakiko sawa nyuma ya pazia hatuwez kwenda kufumua mji wote at once wakat tunaona adha ya jiji hili limeshazidiwa mpaka pumzi yakuvuta binaadamu, jiji ambalo linawatu takriban million 7 unafumua barabara zote muhimu, hao wagonjwa si watakufa njiani kila siku, wachumia juani ambao ni wengi sana wataishi vp wakat foleni tu inachukua 3 good hours, kama sisi alhamdlah tunapata chakula what about watu wengine wanaotegemea kibarua wapate chakula???

alaf waziri mzima hana habari wala taarifa kama muda wa mkandarasi umebaki mwezi mmoja na anadai kila siku anapita hapo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Umeona Kenya wapi kwenye hiyo list? When I saw this post from you, I suspected the obvious; haukuelewa hiyo kiingereza ilitumika hapo
Alafu wengi wao hapa including Choice Viariable wanajiita mathematicians and engineers πŸ˜‚πŸ˜‚
 
That was Sama boy 255 aka Baboonman.
 
Tunatumia dame and guess what? Dame is an English word. If you thought dame is a Tanzanian word basi pole kwakoπŸ˜‚πŸ˜‚
So huko kundudwellers uwa mnakaa level seat,hamna kupitia dirishani sio
 

Attachments

  • VID-20250306-WA0006.mp4
    6.1 MB
Kuna wapumbavu wawili mmoja aliitwa @Barbarossa na mwengine Askari Kanzu. Hawa jamaa kudeal nao ilikuwa kibarua. Huyo Askari Kanzu hangeandika more than one sentence na hiyo sentensi yake maneno matatu manne pekee.🀣🀣
 
Sikuona sababu ya kutowapa strabag phase zilizofuatia maana ile phase waliitendea haki,almost 10 years ile barabara na vituo vyake vipo vile vile,nani sijui alishauri waje wachina!
Hii ndo itatokea na SGR ya kutoka Tabora hadi mwanza huko.
Tungebaki na mkandarasi mmoja tu Yapi hadi akamaliza.

Tatizo ni moja Tz. 10% 10%
 
Mimi naona badala ya kuanza ujenzi wa mwendokasi, wangeanza na flyovers za mwenge, Morocco, Fire, magomeni. Kamata.
Wangeshamaliza sasa. Mwaka ungetosha kujenga hizo flyovers.
Halafu ndo waendelee na BRT sasa.
Vinginevyo tutaseka sana.

Yaani Dar imekuwa hovyo. Ukikimbilia mwendokasi, mabasi hayatoshi, kila siku wanapiga kalenda mabasi mapya.
Ukisema utumie bolt au uendeshe mwenye utakumbana na foleni sio za kitoto. Airport road foleni iko kamata tu, Morogoro road iko fire Magomeni na manzese tu. Na kule kuanzis Ubungo kwenda kimara.
South Kawawa road ni ilala boma tu
Bagamoyo road ni mwenge na Morocco tu
Flyovers kwenye junction zingesaidia sana kuondoa foleni
 

Mkuu, haujanipata vizuri.

Kwenye hiyo miradi na wao wenyewe WB au IMF wanakuwa na kipengele cha kuchagua mkandarasi wao wenyewe. Serikali inabaki kama msimamizi tu. Kama ni ulaji ni hayo makampuni ya ujenzi na hizo taasisi za fedha ndio wanajua namna ya kupiga hizo hela. Na ndio maana waziri kasema inabidi aihusishe foreign affairs kulingana na situation ilivyo.

Hata jangwani, bado hamna kitu japo WB walishasema wanaweka fedha pale. Hizi taasisi za fedha zinatoa mikopo na bado zinakupangia namna ya kutumia mkopo kama ni wamekupa msaada vile. Shida ndio iko hapo.
 
Hao wengi wa juzi tu,
Watoto hawajui miaka hiyo jamiiforums ilikuwa inaitwa JamboForums kabla ya kubadili jina. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…