Nyie jamaa hatufiki popote ikiwa kila tatizo solution ni kutafuta wale ambao waliamua kudeal na vyao kiakili hadi kufanikiwa wanakuja kwako failure kupiga pesa.
Mashirika ya Serikali tuliua tupo busy kuomba mashirika ya Serikali zingine yaje tena kina CCECC, CRBG za wachina ndio TANROAD na TARURA hizo.
DUBAI PORT WORLD (DP WORLD) ndio hao TPA wa DUBAI hao.
Hebu kaeni chini fikiria nchi zote zilizoendelea na zinazoendelea kuna kitu or vitu vilivyowafanya wapige hatua ambavyo hawataki nchi nyingine iwe na maamuzi navyo kamwe maana wanajua wakiachia nchi nyingine hakuna maendeleo.
SAUDI ARABIA piga ua iliamua MAFUTA yatakua ya SAUDI under Government ownership now wana SAUDI ARAMCO Largest company in the World.
Unadhani SAUDI ARAMCO ingekua Africa ingekua Largest? Why?
China ilifanya State Owned Corporation kuwa World Largest companies (China Railway, CCECC, NORINCO, AVIC, CRBG, HUAWEI, CHINA MOBILE, SINOPEC, CNOOC, COSCO SHIPPING, ICBC BANK, CHINA STATE GRID (TANESCO YETU)) kupitia hayo makampuni China imeweza kuwa na ripple effects ya uchumi.
Jiulize CCECC anajenga Barabara lami anaitoa China pengine kutoka kampuni binafsi or SINOPEC, nguo za wafanyakazi, Taa za Barabarani, Nondo, kwa kuwa wana design maalumu ambazo materials huwezi zipata Africa inabidi waship huko kwao hivyo ajira na viwanda vinapuka kusapoti demands, imagine ni viwanda vingapi vinasupply HUAWEI components? Bado kuna viwanda vya SANY, HOWO, FAW, XCMG, LIU GONG kwa hao CCECC.
Tupunguze ujinga.
Muda huu upo unawaza eti umeme kupeleka 500km ni gharama kuliko kuvuta 2,000km. Na wewe unategemewa na nchi na upo unasema mitambo mibovu?
TANESCO haiendi popote, Mwendokasi haiendi popote, TPA haiendi popote, Air Tanzania haiendi popote ikiwa akili iliyopo ndio hiyo kukitokea tatizo ni kuachia "MWEKEZAJI" ambaye alianza kama wewe amefika huku kuchukua uliposhindwa
Nyie endeleeni kusifia ila I tell you we are fucked π€£π€£π€£π€£