Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022

Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mabomba makuukuu,View attachment 3265266
Oooohhh tukona ze biggesti hydro dam in Easti Africa. 🤣 🤣 🤣 NairobiWalker aliwaambia shida zenu za umeme hazitasuluhishwa na generation pekee mukamtusi. Sasa ona hamna proper infrastructure ya kufanya transmission. 🤣 🤣 🤣 Bongolala ni bongolala tu.
 
This is a video of Kariakor, unaezadhani kuna vita inaendelea hapa and it has been bombed severally.

Hapa Buildings above 10 floors hazifiki tano na hakuna any building of 20 floors. All the buildings currently under construction are less than 10 floors and those buildings under construction are at most 8.

Alafu utaskia Baboonman akisema sijui Kariakor kuna buildings mingi za 20 floors, Kumbe ni 2 floors.

View: https://youtu.be/Kdqd8ckDB3w?si=u3FnL1TuizgKPKH1
 
Oooohhh tukona ze biggesti hydro dam in Easti Africa. 🤣 🤣 🤣 NairobiWalker aliwaambia shida zenu za umeme hazitasuluhishwa na generation pekee mukamtusi. Sasa ona hamna proper infrastructure ya kufanya transmission. 🤣 🤣 🤣 Bongolala ni bongolala tu.
Many people here are high school leavers. You try to educate them like a professional, they insult you. Saa zingine unawaacha waishi kwa ujinga wao.
 
I've said it here and I'll say it again and again. Kenya should leave the EAC. We are literally the ones keeping this bogus union standing, we contribute the most money and we always pay on time. Meanwhile, the country that benefits the most from it acts as if they don't even want to be there and always buttlicking SADC. Let's just close it like we did in 1977 and get over with it.
 
Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022

Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mabomba makuukuu,View attachment 3265266
Ni kitu kinacholeweka ila changamoto hawajawapa wataalamu kutoka Tanesco watolee ufafanuzi hilo jambo, huyo msemaji katoa boko kinoma.

View: https://x.com/mativomjohn/status/1498012407452606466?s=46

View: https://x.com/japanamb_tz/status/1716713450833940927?s=46
 
Huu utaisha na utakuta hili gofu la kisumu village limeanza kudondoka kifafa

Largest complex with conference, arena, mall, hotel and exhibition courts in Africa

View: https://youtu.be/LgQpz-b90EE?feature=shared

Kisumu wizards park
View attachment 3265311

Ile renda ya mwanzo ilikua inafanana hivi 👇🏾
IMG_5452.jpeg
 
Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022

Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mabomba makuukuu,View attachment 3265266
Sasa nyinyi. Kama mmeweza kujenga bwawa la Nyerere 2115MW. Mnashindwa nini mkajenga upya hiz transmission line?

Wananchi wanasema hawana serikali yenye maono.
Kimsingi jana Serikali omepuyanga sana. Watanzania wanataka nchi yao iwe independent kwenye energy. Sasa zile MW zote zitabaki tu bila matumizi kisa tu hamwezi jenga transmission lines?
Nashauri iachane na mpango huo. Ijipange kuboresha miundombinu mdogo mdogo.
Watanzania wengi jana wamekatishwa Támaa na ile hotuba.
 
Sijui ni kitu gani. Lakini mbona transmission lines mpya zilitengenezwa hivi karibuni.? Miaka ya 2018-2021 nilikua nikitokaga Arusha to Mwanza nilikua nikiona transmission lines mpyaa zikijengwa.
 
Yani watchman alilia moderators comments zangu zote zikakuwa deleted, huyu The best 007 ni bure sana😂😂.

IamLee, mwaiofhawaii zile comments za usiku tukichongoa watchman zimekuwa deleted zote😂
People who act all tough are normally the weakest crybabies. I wouldn't be surprised if some of these little tough boys here lock themselves up and cry after all the jabs we throw them here.
 
Oooohhh tukona ze biggesti hydro dam in Easti Africa. 🤣 🤣 🤣 NairobiWalker aliwaambia shida zenu za umeme hazitasuluhishwa na generation pekee mukamtusi. Sasa ona hamna proper infrastructure ya kufanya transmission. 🤣 🤣 🤣 Bongolala ni bongolala tu.
We ng'ombe Tanzania ni massive, unafikiri kuupgrade transmission lines zote across the country ni kitu cha a park walk? Nchi yenu tu ni nusu ya Tanzania na ni less than 40 percent ina central grid at least ya kv 120
 
Back
Top Bottom