REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Naandika haraka kaka na huwa sifanyi review. Wala sikunotis mpaka kundi la watu kuniandikia.tasted kwani jamaa ni fruit? au unamaanisha tested?
Shukran kwa kuniweka sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naandika haraka kaka na huwa sifanyi review. Wala sikunotis mpaka kundi la watu kuniandikia.tasted kwani jamaa ni fruit? au unamaanisha tested?
Hoja dhaifu sijapata kuona yani inawezekanaaje umeme utoke Ethiopia km zaidi ya 2000 bila kupotea kwa kiwango kikubwa kuliko unaotoka chalinze kama km700 tuu.
View: https://www.instagram.com/p/DG_IGt6qoaq/?img_index=1&igsh=a3JjbDkyY3RubnVt
Majibu YaoKwanini tununue umeme njee wakati tunazalisha wakutoshaa,izi akili za wapii
Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022
Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mambo makuukuu,View attachment 3265266
Ukosefu wa lishe bora: Huwezi tambua gender ya mtu na huwezi jua mtu ana furaha, huzuni or makasiriko.
View: https://x.com/alloysmayaka/status/1898663136921633131
Huu utaisha na utakuta hili gofu la kisumu village limeanza kudondoka kifafa
Largest complex with conference, arena, mall, hotel and exhibition courts in Africa
View: https://youtu.be/LgQpz-b90EE?feature=shared
Kisumu wizards park
View attachment 3265311
Though hio render sijaipenda, hope watakuja na nyingine, tukikamilisha hii Rwanda tumemuondoa mchezoniArusha Ina set standards za kushindana na tier 1 cities in EA.
Tier 1 Cities in East Africa are only two, Nairobi and Addis Ababa.Arusha Ina set standards za kushindana na tier 1 cities in EA.