Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022

Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mabomba makuukuu,
images (7).jpeg
 
Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022

Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mambo makuukuu,View attachment 3265266

View: https://x.com/AnnaTibaijuka/status/1898915019926233134?t=Iw4t0HF6eACwDI6cPyDtVQ&s=19

My Take: Ni upumbavu kuamini kwamba anaekubaliana na hoja za serikali kwamba ni chawa
 
Back
Top Bottom