IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 5,692
- 6,071
We tuko 2025 na hujajua kutofautisha render (CGI) na AI generated images?Ile renda ya mwanzo ilikua inafanana hivi 👇🏾View attachment 3265385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tuko 2025 na hujajua kutofautisha render (CGI) na AI generated images?Ile renda ya mwanzo ilikua inafanana hivi 👇🏾View attachment 3265385
Ni kitu kinacholeweka ila changamoto hawajawapa wataalamu kutoka Tanesco watolee ufafanuzi hilo jambo, huyo msemaji katoa boko kinoma.
View: https://x.com/mativomjohn/status/1498012407452606466?s=46
View: https://x.com/japanamb_tz/status/1716713450833940927?s=46
Ni SADC boss sadec ni gani tenaTupo Sadec eac tupo kimakosa
Ni kitu kinacholeweka ila changamoto hawajawapa wataalamu kutoka Tanesco watolee ufafanuzi hilo jambo, huyo msemaji katoa boko kinoma.
View: https://x.com/mativomjohn/status/1498012407452606466?s=46
View: https://x.com/japanamb_tz/status/1716713450833940927?s=46
hii nchi sijui inaelekea wapi daaah 🙌🏻🙌🏻Sasa nyinyi. Kama mmeweza kujenga bwawa la Nyerere 2115MW. Mnashindwa nini mkajenga upya hiz transmission line?
Wananchi wanasema hawana serikali yenye maono.
Kimsingi jana Serikali omepuyanga sana. Watanzania wanataka nchi yao iwe independent kwenye energy. Sasa zile MW zote zitabaki tu bila matumizi kisa tu hamwezi jenga transmission lines?
Nashauri iachane na mpango huo. Ijipange kuboresha miundombinu mdogo mdogo.
Watanzania wengi jana wamekatishwa Támaa na ile hotuba.
Jana alikipata 😂😂Yani watchman alilia moderators hadi comments zangu zote zikakuwa deleted, huyu The best 007 ni bure sana😂😂.
IamLee, mwaiofhawaii zile comments za usiku tukichongoa watchman zimekuwa deleted zote😂
mambo ya msingi yanawashidaNi SADC boss sadec ni gani tena
Line ipo under construction as we speak na ni mapesa mengi kujenga transmission lines za 400kv the moment miradi yote hii imeisha Tanzania itakua nafikiri ya kwanza Africa au top 3 kuwa na longest 400kv transmission line in AfricaSasa nyinyi. Kama mmeweza kujenga bwawa la Nyerere 2115MW. Mnashindwa nini mkajenga upya hiz transmission line?
Wananchi wanasema hawana serikali yenye maono.
Kimsingi jana Serikali omepuyanga sana. Watanzania wanataka nchi yao iwe independent kwenye energy. Sasa zile MW zote zitabaki tu bila matumizi kisa tu hamwezi jenga transmission lines?
Nashauri iachane na mpango huo. Ijipange kuboresha miundombinu mdogo mdogo.
Watanzania wengi jana wamekatishwa Támaa na ile hotuba.
Yeah lakini hii ni AI nnavyoonaIle renda ya mwanzo ilikua inafanana hivi 👇🏾View attachment 3265385
Line ipo under construction as we speak na ni mapesa mengi kujenga transmission lines za 400kv the moment miradi yote hii imeisha Tanzania itakua nafikiri ya kwanza Africa au top 3 kuwa na longest 400kv transmission line in Africa
View: https://x.com/BilikwijaT70646/status/1866538949084061820?t=vRYlamHobfc9lXruVQBbzw&s=19
Sína shida na hiyo miradi. Sasa hiv watu wa kasikazini hawana umeme? Kwa nini tusivumilie kipindi hiki wakati ujenzi unaendelea kama tulivyofanya wakati wa Nyerere dam. Kuliko kuanzia kununua huko nje?
There must be a solution kuliko kukimbilia nje ya nchi.
NIshati na Tanesco kwa ujumla ina historia ya kukumbwa na ufisadi mkubwa kuliko sehemu yoyote ile nchi hii. Uwepo wa miradi kama hiyo inatupa mashaka

Umeme upo lakini sio kwa standard nzuri na matumizi ya umeme yanazidi kukua on daily basis kumbuka vijiji vingi vinaunganishwa na umeme kupitia REA kuna ongezeko kubwa la makazi na vifaa vya umeme majumbani mahitaji ya umeme ni makubwa kuliko pace ya kuongeza transmission capabilities sababu usitegemee tank (transformer) la Lita 100 za maji na pipes zake (transmission) vilivozoea kuhudumia watu 10 litafanya hivyo kwa watu 1000 kwa ufanisi ule ule,Sína shida na hiyo miradi. Sasa hiv watu wa kasikazini hawana umeme? Kwa nini tusivumilie kipindi hiki wakati ujenzi unaendelea kama tulivyofanya wakati wa Nyerere dam. Kuliko kuanzia kununua huko nje?
There must be a solution kuliko kukimbilia nje ya nchi.
NIshati na Tanesco kwa ujumla ina historia ya kukumbwa na ufisadi mkubwa kuliko sehemu yoyote ile nchi hii. Uwepo wa miradi kama hiyo inatupa mashaka
Bado umeme hautatosha itatubidi tujenge jhhp nyingine kama mbili tuwe salama kwa walau miaka 20 ijayoUmeme upo lakini sio kwa standard nzuri na matumizi ya umeme yanazidi kukua on daily basis kumbuka vijiji vingi vinaunganishwa na umeme kupitia REA kuna ongezeko kubwa la makazi na vifaa vya umeme majumbani mahitaji ya umeme ni makubwa kuliko pace ya kuongeza transmission capabilities sababu usitegemee tank (transformer) la Lita 100 za maji na pipes zake (transmission) vilivozoea kuhudumia watu 10 litafanya hivyo kwa watu 1000 kwa ufanisi ule ule,
urgent measures must be considered sababu pia mahoteli makubwa na viwanda hawatasubiri tumalize 400kv transmission line 2026, kikubwa kuziba hiyo mianya ya ufisadi uzuri mauziano ya umeme yatakua kwenye system ambayo ni very computerized hakuna gap la human error na ni mwaka tu baada ya hapo transmission yetu ipo tayari we're good to go.
Wasemaji ni kina choisi variabo unategemea nini! 😂😂😂😂😂😂😂 msemaji kajaa uchawa uchawa mwisho wake ndio hayo hata kuueleza mambo ya kitaalamu hawezi, analazmisha aonekane muda wote mama amuone
Hizo numbers umetoa wapi Mr. Primary school dropout? The last time I checked bongoslum has one operational 400KV line, yani hata Dar is a slum is not connected to a 400KV line. 🤣 🤣 🤣 In Kenya all our cities are already connected to a 400KV line. Alafu the last time I checked Kenya ikona parastatal tofauti ya kufanya high voltage transmission, bongoslum kila kitu mumewachia TANESCO, no-wonder bado mko nyuma.We ng'ombe Tanzania ni massive, unafikiri kuupgrade transmission lines zote across the country ni kitu cha a park walk? Nchi yenu tu ni nusu ya Tanzania na ni less than 40 percent ina central grid at least ya kv 120