Oooohhh tukona ze biggesti hydro dam in Easti Africa. 🤣 🤣 🤣 NairobiWalker aliwaambia shida zenu za umeme hazitasuluhishwa na generation pekee mukamtusi. Sasa ona hamna proper infrastructure ya kufanya transmission. 🤣 🤣 🤣 Bongolala ni bongolala tu.Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022
Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mabomba makuukuu,View attachment 3265266