NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Uwanja haufiki 10k capacity alafu wacollect 7.3M? Labda kwa hayo madafu ya Tanzania.Mbona pesa ndogo? Azam wanapata kila mechi pale Chamazi!
Uwanja haufiki 10k capacity alafu wacollect 7.3M? Labda kwa hayo madafu ya Tanzania.Mbona pesa ndogo? Azam wanapata kila mechi pale Chamazi!
Tukamuita bwana mapesa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi si ndio alidownload pesa kipindi fulani akapost humu kuwa ni zake! 😂😂😂
Msimbazi hovyo sn kwa sasa.Kariakoo ni disaster. Bodaboda na bajaji wanapark na kupita kila mahali. Msimbazi street sio poa aisee.
Kimsingi Dar haina uongozi kabisa kwa sasa
Cheki ushuzi kutoka best league in Africa, kama Europe mwanangu NairobiWalker
View: https://x.com/FKihamu/status/1906350783035035859?t=21ovYArfCfLuOIwPKX-5ZA&s=19
Duh pale balaa mzee wangu.Msimbazi hovyo sn kwa sasa.
Alisahau ku crop hiyo Azam, ukiwa muongo uwe na kumbukumbu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe nawe una Azam TV, A Tanzania broadcasting Company.
Mbona wadanganya kila siku. Ati no kenyans watch Azam TV?
Halafu hii Stadium mbona haina tofauti na Tabora Stadium huko Tabora
Sasa uwanja wenyewe uko wapi hapo wa kujisifia umejaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shida sio kununua ticket, shida uwanja umejaa. Yani ticket zimeuzwa zikaisha. Wacheni unafiki.
Kaenda Oman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe umetembea wapi.? Unanipigia kelele tu. 🤣🤣🤣
😃😃😃 Uwanja wa 15k spectatorsSasa uwanja wenyewe uko wapi hapo wa kujisia umejaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaaaaa, sasa angalia bingwa wa Kenya anapata sh ngp alafu angalia bingwa wa NBC pl anapata sh ngp zen utagundua jamaa wanalazimisha battle ya kila kitu na sisi wakati hakuna uhalisia.Angalia hii “dabi” 😂😂😂View attachment 3288029
By the way 95%+ wokers hapo ni Watanza, kuna kampuni 14 za kitanzania zimepewa kandarasi. 👇🏾
View: https://www.facebook.com/watch/?v=636238592332642&vanity=wasafifmpage.
Vilaza wawili wakijichocha. 🤣🤣🤣. Ila chuki yenu kwa bongo ni kubwa balaa. 🤣
Haya kojoeni mkalale.
Jana nilikuwa bar fulani nikaangalia mechi yao wanayoiita derby, aloo mashabiki wengi hawana jersey za timu zao na wengine wamevaa jersey za timu za ulaya, wengine wamevaa jersey za Simba na Yanga yani Kenya bado sanaa 😂 😂 😂 😂 😂 😂A championship league game today ,
Mbeya City against Stand United (Tabora)
This is equivalent to the amateur derby in Kenya today.
Watu wamejaza kiwanja cha 15k halafu wafananisha hooligans match za ligi fukara huko kunya na continent's top professional leagues?
Watu wanaenda uwanjani wamevaa arsenal and Liverpool second hand kits ?
View attachment 3288278
Fyi,
Mbeya City is owned by Mbeya city council, and has more money, fans, structured and competent than majority of the lower rated poor unprofessional hooligan Kenya premier league teams
That's KSH bongolala. Si hiyo madafu yenu which is currently the world's worst performing currency1.7m really 😄😄😄
So poor league.
Twende pole pole, how much does yanga collect aside kariakoo derby. Online ticketing Iko Kenya kitambo sana what Shabana is doing is just PR.That championship league is worthy more than your poor premier league matches,
I am bewildered to see a premier league team counting cash they just collected 😃😃😃
That's where we were in 2002 😃😃😃
Hata hizi match za championship out mode of paying for tickets were digitalized long a go.