Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaona ni big issue kumbe kitu kidogo tu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View: https://youtu.be/zrvfWGRIumw?si=CXJOBoMpBuIuR36d
Hawaijui vzr Tanzania, wanadhani tumewapita kwa bahati mbaya kwenye trade activities, huenda wanajua au wanafanya kusudi for the sake of battle. Wanapaswa kujiuliza kwa nn siku hizi wanakimbilia Tz kununua bidhaa na wengine wao wakiwa ni watu kutoka humu humu kwenye huu uzi.
 
Muongezee
Mo Electro 55 inch Full HD Smart Television

View attachment 3307471
Watanzania tunawatumia vzr wachina na wanatupa ujuzi kweli kweli, kule Kenya wachina wanaonwa kama miungu watu na wanaogopwa kabisa, sehemu za ujuzi mkenya anawekwa mbali kabisa na ikibidi anachapwa fimbo na mchina asisogee kabisa, huku kwetu mchina na mbongo wote wanafanya kazi pamoja na kwa urafiki mkubwa that's why it's easy for Tanzanians to adapt technology from Chinese people.
 
ila akili zenu nyinyi zimejaa chumvi mawe๐Ÿ˜‚
View attachment 3308161
Website ya Vitron ndio hii, jitoe ujinga.

 
Wewe ndio akili yako ni mbaya hii sio Vitron hile ya TVโ€™s, mbona usituonyeshe products wanaoproduce tukucheke, ama unaogopa sababu unajua they donโ€™t produce TVโ€™s?
Nataka unieleze, hii mara ya pili unatumia neno hili, tuambie maana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ