The fact that alipigwa clearly shows kuna taarifa hufai kuchapisha huko bongoslum or else utajipata Kwa shida.Kwa kupost hii picha umekubali kuwa huwezi ficha taarifa zama hizi za mitandao ya kijamii.
Unaona namna umejikaanga na mafuta yako mwenyewe!