Na Kenya wanakusanya kodi kinoma.Kwahiyo English ndo inakufanya uwe msomi, ndo maana mnaendelea kuibiwa tu, usomi ni pamoja na kujua kuiba bila kelele.
Mna GDP ya 130bil usd mmetuzidi kwa almost 50% ila mkija kwenye revenue collection mmetuzidi 1.6tril ambayo hazifiki hata 10 % tukiwambia hamna kitu mnaona tunawaonea usomi wenu ni kwenye maneno maneno🤣🤣🤣🤣na matusi
Ukiwa na duka la reja reja, lina vinywaji, unga, vifaa vya umeme, na pombe hayo ni maduka 04