concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Sasa umezipataje mfano ?Very few, huoni hata wenzako wana complain kupata habari kama hizo bongoslum ni ngumu.
Kwa sababu zingekuwa ni kesi nyingi ungezisikia ila ni chache sio kwa rate kubwa kama Kenya.
Mfano tu. Tukija kwenye rate ya nyumba za tope za Mombasa tukaenda hata kigoma hapo Tena mjini Mombasa Ina nyumba nyingi za tope kuliko kigoma.
😝😝😝😝