Hawana hata hela ya mitihani ya shule bado hawana hata hela za kulinda mipaka yao. Juzi mkuu wao idara ya usalama akamwaga unga kwenye kuku🤣🤣🤣🤣
Yaan GDP kubwa unashindwa na GDP ndogo kwenye kulinda mipaka, hivi wanahisi m27 hawataman kigoma au hawajui watz wanavyolinda Lile ziwa watu wasifanyiwe uharamia
Parliament Probes Education Ministry Over Lack of Budget for National Exams
by Frankline Oduor on Wednesday, 14 May 2025 - 7:47 am
Students sit for a Kenya Certificate of Secondary Examination (KCSE) exam
Students sit for a Kenya Certificate of Secondary Examination (KCSE) exam on November 6, 2019. Photo K
NEC
Education PS Julius Bitok was at pains to explain why KEPSEA, JSS, and KCSE examinations had not been allocated funding.
www.kenyans.co.ke