Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,324
- 18,182
You are basically confirming what we've been saying here all along. Dar and poor planning go hand in hand. Wacha kutumia maneno mengi kutetea uozo. Dar might be the most disorganized and poorly planned city this side of the SaharaKeko ni eneo la viwanda toka zamani ila kulikuwa na maeneo ya makazi pembeni, sasa kulingana na wingi wa watu Kuna baadhi waliuziwa maeneo yaliyopaswa kuwa ya viwanda. Kinachofanyika sasa hivi wale wenye viwanda ndo wanawanunua wakazi ambao walikuwa wamevamia bila ugomvi wala kelele .
Na kulingana na Sheria za Tanzania residential inaweza badilishwa kuwa industrial au commercial ila baada ya kufuata taratibu zote na wakazi wa eneo husika waridhie ila viwanda vingi vimeopt nje ya mjii 🤣🤣🤣🤣