Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzuri vitu vipo humuhumu je hizi sio hasara tulizoingia.
Alichotahadharisha lisu hakikutokea
 
Vipi ccm hawalambi 🤣🤣🤣🤣
 
Faida ni nyingi kuliko hasara.
Kuvunja mikataba ya ovyo ni bora kuliko kuendelea kukumbatia mikataba ya ovyo.
Endeleeni kumtetea huyu msaliti wa nchi.
 
Sasa kipi bora.? Hizi hasara tunazojua kiwango chake au kuruhusu ule wizi wa madini wa barick ambao hatujui kiwango chake ni kiasi gani, na ungekuepo vizazi na vizazi.? Heb tujaribu kuwa wakweli jamani.
 
Hivi kati zile ndege mpya ngapi zimepaki ? Kwa kukosa vipuri , hivi tungekuwa tumenunua kwa mkopo unadhani muuzaji angekubali msipate vifaa kwa wakati ili mumlipe deni lake ?
 
Kwa hili acha waje watusaidie maana bongo tumeshidwa bila kuwapa joto ccm hatuwezi kuwaondoa kwa kura
Upinzani wenyewe wa kuwaondoa CCM uko wapi? Tunahitaji upinzani madhubuti wenye spirit ya nationalism, hawa wapumbavu wanaona Kunyaland ndio their fantasy dreamland unaona tu mawazo yao yalivyofinyu na hawana msaada wowote kwa watanzania.
 
Huyu nilimuwekaga ignore kwa sababu ya siasa za uchawa humu. 😂😂😂
Kumbe nilikuwa sahihi kumuweka.
 
Faida ni nyingi kuliko hasara.
Kuvunja mikataba ya ovyo ni bora kuliko kuendelea kukumbatia mikataba ya ovyo.
Endeleeni kumtetea huyu msaliti wa nchi.
Kwahiyo waliongia mikataba walikuwa kina lisu sio nyinyi ccm Tena .wakati wanapinga kutoingia mikataba hiyo madini SI mlikuwa mnawasurubu .
Inakuwaje mtu imeingia mwenyewe baada ya kuona maji moto unalazimisha kutoka kwa kuvunja taratibu matokeo yake unamlipa mtu gharama zake za uwekezaji wakati huko NYUma ashavunq vya kutisha nani chizi🤣🤣🤣🤣
 
Upinzani wenyewe wa kuwaondoa CCM uko wapi? Tunahitaji upinzani madhubuti wenye spirit ya nationalism, hawa wapumbavu wanaona Kunyaland ndio their fantasy dreamland unaona tu mawazo yao yalivyofinyu na hawana msaada wowote kwa watanzania.
Nyinyi mnataka upinzani wa kuwalamba matako kama ule wa mbowe huuu wa safari hiii mtanyooka tu
 
Aliyeingia mikataba ni awamu ya JPM?
 
Kwanza wamempa hifadhi huko kwao, halafu wanam fund kila kukicha, akina Amstadam ndio watetezi wake, watanzania wenzetu eti wanamuunga mkono bwana lisu, halafu hao hao kwa unafki wanamuunga mkono pia bwana Traore eti wanachukia wazungu kwa kutaka kumng’oa. 🤣🤣🤣 nchi ina waduanzi hii. Wazungu wanaomuunga mkono Lisu ndio hawa hawa wanaompinga Traore..
 
Kwa hiyo sio serikali ya ccm? Wakati hiyo mikataba letsay ya madini yeye hakushiriki kwenye cabinet kama alikuwa anaona haifai mbona hatukwahi msikia akipinga hata bungeni🤣🤣🤣🤣
Unamaanisha hii serikali ambayo kila raisi akija anakuja na vipaumbele vyake! Au kuna nyingine!
Hivi nchi hii kuna waziri anaweza kupinga kitu alichoamua raisi? Yaani ulitaka JPM kipindi kile ampinge bosi wake (JK)
Acha kuandika ujinga huku ukifahamu namna nchi yako inavyo operate.
Hivi unakumbuka kauli ya JPM "Mtalimia meno" alikuwa anamaanisha nini!

View: https://youtu.be/oQ5xvhkaEnk?si=Q8kKpB85aJeQlzKJ
 
Hivi kati zile ndege mpya ngapi zimepaki ? Kwa kukosa vipuri , hivi tungekuwa tumenunua kwa mkopo unadhani muuzaji angekubali msipate vifaa kwa wakati ili mumlipe deni lake ?
Ushawahi kukopa.? Kikawaida tu nyumbani.? Nazungumzia hii mikopo rasmi..

Vipuri vinanunuliwa my brother, ni bora vichelewe kufika lakini hiyo ndege ni yetu, hasara za kimadirio sio hasara halisi.. ndege itakua haifanyi kazi ikisubiri matengenezo.. je vipi ndege ikisubiri matengenezo halafu ni ya mkopo.? Itafika wakati tutashindwa kuilipia kabisa halafu wenyenayo wataichukua au tutaendelea kuwa watumwa wa hayo madeni milele, pesa inayotosha kununua ndege tano cash tutaitumia kulipia ndege moja ya mkopo… ukumbuke shirika letu lipo kwenye ukuaji, ndio kwanzaa limeanza, cancelations zitakuwepo, delays zitakuwepo, utendaji mbovu utakuepo n.k. Haya mambo yote usidhani viongozi hawakuyafkiria wakati walipoamua kununua ndege kwa cash.
 
Sasa kipi bora.? Hizi hasara tunazojua kiwango chake au kuruhusu ule wizi wa madini wa barick ambao hatujui kiwango chake ni kiasi gani, na ungekuepo vizazi na vizazi.? Heb tujaribu kuwa wakweli jamani.
Issue sio kuingia hasara bali utaratibu, kumbuka hata wakati hii mikataba inaaingiwa Kuna watu kibao walipondwa na kuumizwa kuwa ni wahaini kwa kupinga hiyo mikataba.
Kuna watu walifukiwa bulyankulu wakiwa wamegoma kuachia machimbo yao na serikali hiyo chini ya ccm ilipeleka askari kuwatoa kwa nguvu.
Je unajua aliyekwenda kusimama mahakamani kuwatetea wale maskini waliofunikwa na vifusi.
Je kati ya yule aliyelazimisha mikataba na yule aliyekwenda kusimama mahakamani mpaka watu wakipata haki zao nani mhaini.
Eti baadae yule aliyekwenda kutetea maskini wapate haki huku yule aliyeiba akanufaika akisaza Leo aonekane mhaini ila muuwaji ndo mtaka mwema sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…