Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umaskini ni huu hapaView attachment 3345752View attachment 3345753View attachment 3345754View attachment 3345756

A whole city looking like that one above alafu unakejeli nyumba ziko na choo na bafu ndani. Wapi kuna umaskini Sasa?
Compare and contrast.
Mburahati,Manzese and Mabibo.
images-7.jpg
images-8.jpg
images-9.jpg


Kibera slums nyumba za mabati.
images-10.jpg
images-11.jpg
 
Shindaneni na Malawi. Kenya sio level yenu.
Sio level yetu ilhali tumewasaidia hadi dawa za TB?
Nchi yenye uchumi unashindwa kuwa na dawa mnakaa miezi mitatu dawa hamuna?
Nchi yenye uchumi mnaandamana kisa bei ya unga?
Nchi ya uchumi mnapewa misaada ya vyakula?
 
Sio level yetu ilhali tumewasaidia hadi dawa za TB?
Nchi yenye uchumi unashindwa kuwa na dawa mnakaa miezi mitatu dawa hamuna?
Nchi yenye uchumi mnaandamana kisa bei ya unga?
Nchi ya uchumi mnapewa misaada ya vyakula?
Tanzania is LDC and Kenya is not.

I have simplified it for you.
 
I can dare you to post Tanzanian top 10 stadiums na sisi pia top 10 ya Kenya, I assure you utakimbia.
Ngoja kwanza nikukate ngebe.. siwezi linganisha modern stadiums na takataka za kenya.. huna standards za kulinganisha huo uchafu mlionao stadium za Bongo. 🤣🤣🤣 chill. We have 5 modern and most beautful stadium in the region .. you have only one 1. Subiri talanta iishe uje hapa. The rest huko kenya ni kama zile kaitaba stadium. Thank you.
 
Back
Top Bottom