Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Nashawishika kabisa wewe zile picha uliomba. 🤣🤣🤣🤣 Arusha stadium ipo long drive from the main road.? 🤣🤣🤣 … haya tuambia picha ulimuomba nani.?It was a loong drive from the main road. I hope they tarmac the road because if they don't no fan will be attending those matches. 🤣 🤣
Hakuna, actually mambo ya Stadium Kenya ilishaacha Tanzania mbali sana.Hivi ukiondoa Dar na Zanzibar Kuna stadium nyingine bongolala iliyo na viti vya kukalia?
Compare and contrast.Umaskini ni huu hapaView attachment 3345752View attachment 3345753View attachment 3345754View attachment 3345756
A whole city looking like that one above alafu unakejeli nyumba ziko na choo na bafu ndani. Wapi kuna umaskini Sasa?
Tanzania ipi unayozungumzia.? 🤣🤣🤣Hakuna, actually mambo ya Stadium Kenya ilishaacha Tanzania mbali sana.
Unataka tukutajie?Hivi ukiondoa Dar na Zanzibar Kuna stadium nyingine bongolala iliyo na viti vya kukalia?
There is only one LDC Tanzania in the entire universe.Tanzania ipi unayozungumzia.? 🤣🤣🤣
Hakuna Tanzania mnayoizidi kwa ubora wa viwanja you fool. Chill. 🤣🤣🤣 sisi sio league yenuThere is only one LDC Tanzania in the entire universe.
Kuwa serious wewe quack.Unataka tukutajie?
Uwanja wa Kaitaba.
Shindaneni na Malawi. Kenya sio level yenu.Hakuna Tanzania mnayoizidi kwa ubora wa viwanja you fool. Chill. 🤣🤣🤣 sisi sio league yenu
Ndio kenya ni low level.. kwahiyo nyamaza. 🤣🤣🤣Shindaneni na Malawi. Kenya sio level yenu.
Hivi ndio viwanja zina resemble zile takataka mlizojenga zenye mnaita Fifa standards. 🤣🤣🤣
Huo uwanja haupo wote hivyo,upo sehemu kwenye viti.
I can dare you to post Tanzanian top 10 stadiums na sisi pia top 10 ya Kenya, I assure you utakimbia.Ndio kenya ni low level.. kwahiyo nyamaza. 🤣🤣🤣
Why can’t you show us that section?Huo uwanja haupo wote hivyo,upo sehemu kwenye viti.
This one can’t even host a secondary school game in Kenya.Hivi ndio viwanja zina resemble zile takataka mlizojenga zenye mnaita Fifa standards. 🤣🤣🤣
Sio level yetu ilhali tumewasaidia hadi dawa za TB?Shindaneni na Malawi. Kenya sio level yenu.
Tanzania is LDC and Kenya is not.Sio level yetu ilhali tumewasaidia hadi dawa za TB?
Nchi yenye uchumi unashindwa kuwa na dawa mnakaa miezi mitatu dawa hamuna?
Nchi yenye uchumi mnaandamana kisa bei ya unga?
Nchi ya uchumi mnapewa misaada ya vyakula?
Ngoja kwanza nikukate ngebe.. siwezi linganisha modern stadiums na takataka za kenya.. huna standards za kulinganisha huo uchafu mlionao stadium za Bongo. 🤣🤣🤣 chill. We have 5 modern and most beautful stadium in the region .. you have only one 1. Subiri talanta iishe uje hapa. The rest huko kenya ni kama zile kaitaba stadium. Thank you.I can dare you to post Tanzanian top 10 stadiums na sisi pia top 10 ya Kenya, I assure you utakimbia.