NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Uganda pia wana protectionism? 🤣 🤣Acquisition was an option, na hio ndio banks zingine zimekua zikitumia kuingia Kenya during hio period ya ban. Wacha excuses, kama mlikua na uwezo wa kuingia mngekua mumefanya like other banks. Mumeshindwa kuexpand Uganda lakini Kenya ndio unakuja na excuses za ban.