Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
Ungeendelea na masomo past Primary School ungeelewa what Ruto did😂😂🤣👇👇Kipindi kile ni citizen TV ilimuomba Magufuli week nzima, leo ni president himself aisee hii Tanzania naanza kuiogopa 😂😂😂
Ungeendelea na masomo past Primary School ungeelewa what Ruto did😂😂🤣👇👇Kipindi kile ni citizen TV ilimuomba Magufuli week nzima, leo ni president himself aisee hii Tanzania naanza kuiogopa 😂😂😂
I wonder. 🤣🤣Uganda pia wana protectionism? 🤣 🤣
Comments za hiyo video ndio hizi. 🤣🤣🤣Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa 🤣🤣🤣🤣
Angekaa kimya
View: https://youtu.be/b7fHO2Rw6s4?si=_nWF-LfOuM8WwCXu
Huyu ilimchukua miaka mitatu kupata response tu ya kuwekeza Kenya .
Na sasa hivi mnafanyia figisu eti masuala ya mazingira .
Bado mnasema hamko na protectionism
Rwanda , Burundi na Uganda kote huko Kuna investment za Tanzania kama Azam,metl, jamboa and the like ila Kenya kupata kibali ilikuwa inachukua mpaka miaka mitatu mpaka uhuru alipoingia .Hata hiyo Burundi unaweza pata hawapo. Kumbuka wamezingirwa na 8 stable countries lakini banki zao hazijaingia hata moja alafu wanasema Kenya hawajaingia kisa protectionism. 🤣 🤣
Nisamehe is a genuine apology, lakini “if I have done…, I apologise.” Is not an apology.Tena hiyo ndio inafanya awe anatia huruma zaidi, bora angesema tu nisamehe
Kenyatta alikuja kwa magoti kabisa akaomba apewe na akili kidogoHiyo nayo mtangoja vile Nyerere alingoja Kenyatta amuombe msamaha. 🤣 🤣
Tunaongelea Bank bwana. Wacha mambo ya Azam. Kwani Azam ndio investment pekee hapo kwenu? Na si kila siku mnatuambia humu Azam imetawala Kenya sector ya sports journalism na satelite dishes..tena hiyo azam ndio unasema imepingwa kuingia Kenya? 🤣Rwanda , Burundi na Uganda kote huko Kuna investment za Tanzania kama Azam,metl, jamboa and the like ila Kenya kupata kibali ilikuwa inachukua mpaka miaka mitatu mpaka uhuru alipoingia .
Hakuna apology Ruto ameomba hapo, najua wewe what your brain can process is only msamaha lakini the word “if” imekupita mbali sana😂😂.Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa 🤣🤣🤣🤣
Angekaa kimya
Utatwist weee tani yako lakini hatumsamehi 😂😂😂Kuwa Primary School Dropout is a very heavy burden. Hakuna apology Ruto made hata kidogo, he just massaged your egos hili mfurahie.
View attachment 3348781
Sawa Primary School dropout😂😂😂Wewe ondoa kelele hapa, Ruto katubu acha tuamue wenyewe kumsamehe au otherwise. Na hii sio yeye kaamua from nowhere ni whole Kunyaland government consent decree mmeamua amuombe msamaha
I’m not twisting, I’m just educating you and picking over from where your class six teacher left when you dropped out of school.Utatwist weee tani yako lakini hatumsamehi 😂😂😂
Lakini nilikuambia mtakuja na magoti sikukuambia? 😂😂
Hapo mlikuwa mnampea Honorary degree. Hiyo pekee ni heshima mliyo nayo kwake. Kwanza unajua honorary degree ni nini? Labda naongea na aliyefika Primary school hapa.Kenyatta alikuja kwa magoti kabisa akaomba apewe na akili kidogo View attachment 3348787
Win is win hakuna nyembamba na neneNisamehe is a genuine apology, lakini “if I have done…, I apologise.” Is not an apology.
Comments za hiyo video ndio hizi. 🤣🤣🤣
View attachment 3348785
Waachane na Tanzania waende kujifunza mbioMmejaa kwenye mfumo mumebaki kulia lia mitandaoni.
Nchi yenu nzima mmejadili Tanzania wiki nzima sisi siku moja tu tumewajibu tena wabunge wachache wamefanya mnalia mitandaoni.
Kweli hajaomba msamahaHapo mlikuwa mnampea Honorary degree. Hiyo pekee ni heshima mliyo nayo kwake. Kwanza unajua honorary degree ni nini? Labda naongea na aliyefika Primary school hapa.
Barclays exited the African Market and sold off its shares to ABSA Bank. Enyewe kukua primary school dropout ni mbaya, yani unadhani Barclays rebranded to ABSA without an acquisition. ABSA is a Southern African bank that existed while Barclays was still operating in Africa. Heeee kukua primary school dropout ni mbaya, sasa ona hujui about mergers and acquisitions. 🤣🤣🤣Rudi shule🤣🤣🤣🤣🤣
Lini Barclays Kenya aliuza shares zake kwa Absa ? Kwanza jua tofautisha kati Barclays group na Barclays Kenya.
Barclays Kenya ilikuwa chini ya regulation za central bank of Kenya while Barclays group was under the regulation of uk.
Barclay group was registered in the London stock exchange
Barclays Kenya was registered in Nairobi stock exchange in 1986.
With majority shareholding ya 68.%
Sasa ni lini Barclays Kenya iliwahi uza shares zake kwa Barclays group?