Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda pia wana protectionism? 🀣 🀣
 
The whole president is crying for forgiveness huyu ni chawa wa mama kama mwijaku tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anajua nini kinafata tumekasirika
Mmepewa pole ya kimadharau alafu mnakuja kusherekea huku bila kujua maana ya β€œif” in that sentences. Nyinyi watanzania ni bure kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Nani kakwambia TZ hakuna wanaharakati?
Wanaharakati wetu hawawezi wakaingilia mambo ya *******.
Kwa hivo ni mambo gani wanaingilia? Hawatetei kunyanyaswa kwa opposition leaders, hawatetei kuharibu mazingira, hawapingi corruption, hawapingi ubadhilifu wa mali, hawapingi wizi wa kura sasa kazi yao ni gani?
 
Their banks are only available in BurundiπŸ˜‚πŸ˜‚
Hata hiyo Burundi unaweza pata hawapo. Kumbuka wamezingirwa na 8 stable countries lakini banki zao hazijaingia hata moja alafu wanasema Kenya hawajaingia kisa protectionism. 🀣 🀣
 
You do realize that is not even an apology don't you?
Ruto ni mjanja sana. He has killed two birds with one stone, saying a public arrogant apology to impress both Tanzanians and Kenyans at the same timeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Mtanzania kwa akili yake anadhani ameombwa msamaha na Ruto lakini kwa akili ya wakenya Ruto just applied a phrase of β€œSay Yes to Please a Fool”
 
Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo hapo alipokuwa anahutubia leo....kajikaza kweli kweli Hadi kuomba msamaha.... Na kuwagonga activists wenu tumewagonga....tume wa deport na msamaha wantam ameomba. Hadharanii duniani ikiona na ikisikia...
Nenda uangalie the meaning of β€œif” in an apology alafu urudi. Utagundua hakuna apology hata moja hapo Ruto amefanya, what Kasongo does was just to add oil to an already burning firewood. Wewe hujui ukora wa RutoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi ukiniomba msamaha Hivo tunakosana tena afresh.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Mmepewa pole ya kimadharau alafu mnakuja kusherekea huku bila kujua maana ya β€œif” in that sentences. Nyinyi watanzania ni bure kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
It doesn't matter, the fact it's your highest authority has bowed to us, how he bowed doesn't shift the fact
 
Kipindi kile ni citizen TV ilimuomba Magufuli week nzima, leo ni president himself aisee hii Tanzania naanza kuiogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. πŸ˜‚πŸ˜‚
Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa 🀣🀣🀣🀣
Angekaa kimya
 
Nenda uangalie the meaning of β€œif” in an apology alafu urudi. Utagundua hakuna apology hata moja hapo Ruto amefanya, what Kasongo does was just to add oil to an already burning firewood. Wewe hujui ukora wa RutoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Wewe ondoa kelele hapa, Ruto katubu acha tuamue wenyewe kumsamehe au otherwise. Na hii sio yeye kaamua from nowhere ni whole Kunyaland government consent decree mmeamua amuombe msamaha
 
It doesn't matter, the fact it's your highest authority has bowed to us, how he bowed doesn't shift the fact
Kuwa Primary School Dropout is a very heavy burden. Hakuna apology Ruto made hata kidogo, he just massaged your egos hili mfurahie.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…