Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just like I said, they come for electronics and car spares in Nairobi, our women go for deras and vitambaa Dar. Hata humu nishaona thread zao wakitafuta bidhaa Nairobi.
View attachment 3356878
Hizi story mnatuelezea zilikua ni story za wazee budaa 🀣🀣🀣 Dar ya leo ni China ndogo.
 
Just like I said, they come for electronics and car spares in Nairobi, our women go for deras and vitambaa Dar. Hata humu nishaona thread zao wakitafuta bidhaa Nairobi.
View attachment 3356878
Nairobi inaendelea kua a very big hub for business in Africa. Foreigners ni wengi sana. Hapa SSA sidhani kuna any other city after Joburg yenye ina attract foreigners wengi kuliko. Nairobi.
 
Where are the rest of the floors? πŸ˜‚ πŸ˜‚
In Kenya we build these heights in small towns.
Town ipi to be specific.?🀣🀣🀣 there is no luxury apartments outside Nairobi and mombasa. Kama naongea urongo prove me wrong. Huezi pata building ya hiyo caliber kwenye hizo village center zenu. 🀣🀣🀣 Tz hizo ndio zipo kwa cities zetu kubwa kubwa.
 
How many towns in Kenya have you visited?
 
Town ipi to be specific.?🀣🀣🀣 there is no luxury apartments outside Nairobi and mombasa. Kama naongea urongo prove me wrong.
First of all, what you call 'luxury' in Dar is below average in Nairobi.
Dar level of luxury is sprinkled all over Kisumu, Nakuru, and numerous coastal tourist towns.

This is the true meaning of luxury. Outside South Africa, only Nairobi has this kind of luxurious residential apartment properties in all of sub-Saharan Africa.

All of these at various stages of completion. Many more I left out.


View: https://www.youtube.com/watch?v=oPxX3xxBWL4

View: https://www.youtube.com/watch?v=uh14eC9Bd0M

View: https://www.youtube.com/watch?v=5jsvfYNo63g

View: https://www.youtube.com/watch?v=-0fLX5ydofU
 
Mombasa Port perfomance 2024 is 41M tonnes of Cargo.

All Tanzanian ports put together is only 22M tonnes.


View: https://x.com/timexx47/status/1930529907114963188
who is timothy? is this ur official source yani in 2 yrs increase of 10m hahaha na wewe inakuingia akilini kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


ila wakenya akili zenu ni matope ndio maana munaendeshwa na politician kwa ajili ya uwongo ambao hata akilini hauingii
 
Mtihani umekua mgumu .? naona umekimbia paper. 🀣🀣🀣🀣. Hizi zipo kibao Dar my dear sister. Tena umekuja na renda kuonyesha ni jinsi gani hii vita huiwezi.
 
Mtihani umekua mgumu .? naona umekimbia paper. 🀣🀣🀣🀣. Hizi zipo kibao Dar my dear sister. Tena umekuja na renda kuonyesha ni jinsi gani hii vita huiwezi.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Aliyetunga mtihani kwanza akajifunze maana ya luxury.

Leta moja yenye iko Dar, kiwango cha luxury hizo nimepost. Moja tu.
 
sijakuelewa, kwa akili yako unawaona wakenya ni wajinga kwa kuikatalia tui kuoperate mombasa-amsterdam?
Ndio ni wapumbavu kuzuia flights kutua Mombasa! Mombasa is made to suffer for no reason by forcing tourists to land in Nairobi n lodge in those empty hotels!

The good thing Zanzibar is the main beneficiary of all that happening to Mombasa n the whole coastal tourism in Kenya!

Zanzibar is already having more 5 n 4 star facilities than any destination in east and central Africa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…