Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sera zake nitaleta soft copy yake na kumwaga humu uzione mkuu.
Ni sera nzuri tu na jengefu.
Shukran.
Kuhusu umiliki wa ardhi sijajua kama hiyo ilikua ni ya zamani sana shukran umenifahamisha.
Ila hivi wewe unaona ni sawa mpemba aishi Bara pasi na vikwazo ila Mbara akienda visiwani awekewe vikwazo hasa hilo la ardhi!?
Siyo sawa znz wamezidi kubebwa, mfano hii ya makamu lazima awe Mzanzibar, haikiwepo kipindi cha Mwinyi kirudi nyuma.

Rasimu ya Warioba inaondoa kero zote hizi kwa kuweka serikali tatu.
 
So Lamu has already handled a larger ship than the largest Darislum has ever handled yet we are being told Lamu is a white elephant? ๐Ÿคฃ
That 294m ship that Dar port is handling now Lamu port did it in 2021 imagine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Yet you wonder why shipping lines are using Lamu port to serve Tanzanian ports.
 
Kweli baboon ni baboon tu. Your government says that Mabati Rolling mill only handled 2M passengers ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mnuka ****** ni nani atakukataza kujifurahisha.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
 
Mnuka ****** ni nani atakukataza kujifurahisha.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
Nenda upingane na Serikali yako. This si their data and they are saying Manbati rolling Mill only did 2M passengers in 2024. Yani JNIA ni level ya Kisumu airport kabisaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ