Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bagamoyo port: Tanzania to commence constructing $10 billion sea port in December​



Hii inawauma sana wakenya Kwikwikwikwikwi
 

Bagamoyo port: Tanzania to commence constructing $10 billion sea port in December​



Hii inawauma sana wakenya Kwikwikwikwikwi
It's been long since I logged into jf and commented but Hii bagamoyo kwani haijaisha..almost 10 years ago huu ndio ulikua WIMBO WA kina Geza ulole hapa ndani
 
It's been long since I logged into jf and commented but Hii bagamoyo kwani haijaisha..almost 10 years ago huu ndio ulikua WIMBO WA kina Geza ulole hapa ndani
Hatufanyi vitu kwa mihemko. Wawekezaji walikuwa wanaleta mikataba ya ovyo. Sasa tumeamua kujenga kwa fedha zetu wenyewe. What is the problem with that?
 
Kuna wenye walisema Talanta Stadium haitafanana na render.

1000119197.jpg
1000119198.jpg
1000119199.jpg
1000119200.jpg
1000119201.jpg
 

Bagamoyo port: Tanzania to commence constructing $10 billion sea port in December​



Hii inawauma sana wakenya Kwikwikwikwikwi
Sidhani kama ataweza! Lets be real! Mi naona miradi miradi yoote ya huu muhula itaenda Zanzibar kama mradi wa uwanja wa.mpira Dofoma ulivyoibukia Zanzibar!
 
You are fighting wrong enemy.
Wewe hata adui humjui.

Hii ni April 12, 2021
Tukielimisha watu kuhusu ya nini kilicho mbele yetu.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1381426224182882305

CHAN watu hawakuudhuria mechi.
Mechi za Simba, Yanga zote hazikuwa na mashabiki kabisa

View: https://x.com/ze_mandevu/status/1992883716323148191

1764000591964.png



Jahazi linazama hili na huyu maza akiwepo to 2027 ufunguzi na final zitapigwa Kenya na Uganda. Na Tanzania hakuta kuwa na maudhurio kabisa, hata ile CHAN ilikuwa na afahdali.

Mama yetu hana akili ni failure of note.
1764001189866.png

1764000169630.png
 
Back
Top Bottom