NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Which airport did the 2.14M in Tanzania use?
Aliyeleta na kukubali mkataba wa hovyo wa bandari ni Kikwete, kiongozi wa mtandao wa uovu na ndie aliyemchomeka Samia kama vice president kwa kumanipulate chaguo halisi la Magufuli, Dr Hussein Mwinyi.Hatufanyi vitu kwa mihemko. Wawekezaji walikuwa wanaleta mikataba ya ovyo.
Mombasa.Which airport did the 2.14M in Tanzania use?
Mmejua leo?Kejeli zenu wala hazitasaidia, tumeshawajua nia yenu. Mtanzania mwenye akili timamu ameshawajua kuwa ninyi ni adui zetu. Hatuchezi na kima tena.
Zidi kuskiaNaskia Museveni kamchimba biti Ruto! Asipompa stake anaachana na mradi wa SGR kwenda Malaba!
Nairobi Walker huwa unasema Tanzania kuna udini. Angalia mwenyewe uone jinsi tulivyo na mshikamano.Huwa naambia akina Geza Ulole ukachukua Wakenya wachanganue hiyo economy yao watajua hamna kitu hapo. Yani majamaa wamekubali kudanganywa tu. 🤣 🤣
Nairobi Walker huwa unasema Tanzania kuna udini. Angalia mwenyewe uone jinsi tulivyo na mshikamano.
Ndio maana nasema wewe huijui Tanzania, kazi yako ni ku google tu information zinazokufavour
Tanzania has better people than Kenya, sisi hatuna UKABILA wala UDINI
View: https://www.facebook.com/100064575493778/posts/pfbid02iyxro4rrwj8rzcnkbWqG96YANsUzM7w1mM5CxwSJRxwJtKoirmRJoLUyjo6S2bUgl/?app=fbl
Mmejua leo?
Sisi ambao mmeharrass miaka mingi sababu kuwa na namba plate ya Kenya huko bongo, tulijua kitambo.
Hii yote ni kujidanganya tu, the ones in power have to push these narratives to control the massesI can bring you a million videos of Kenyans from different tribes praying together. Does that prove ukabila haupo?
Hauwezi kuprove kuwa ukabila haupo Kenya kwa sababu kuna matukio mengi mabaya ya kikabila yametokea Kenya yanaonesha mna UKABILA sanaI can bring you a million videos of Kenyans from different tribes praying together. Does that prove ukabila haupo?
Wewe hata adui humjui.
Hii ni April 12, 2021
Tukielimisha watu kuhusu ya nini kilicho mbele yetu.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1381426224182882305
CHAN watu hawakuudhuria mechi.
Mechi za Simba, Yanga zote hazikuwa na mashabiki kabisa
View: https://x.com/ze_mandevu/status/1992883716323148191
View attachment 3506936
Jahazi linazama hili na huyu maza akiwepo to 2027 ufunguzi na final zitapigwa Kenya na Uganda. Na Tanzania hakuta kuwa na maudhurio kabisa, hata ile CHAN ilikuwa na afahdali.
Mama yetu hana akili ni failure of note.
View attachment 3506939
View attachment 3506935
Kwa hivyo, kwa nini unataka tuyafiche au kuyaepuza matukio mabaya ya kidini yanayotokea Tanzania? Hilo ndilo nalolalamikia. Unanipa chapa ya ubaguzi ilhali ninatumia mantiki ile ile uliyotumia.Hauwezi kuprove kuwa ukabila haupo Kenya kwa sababu kuna matukio mengi mabaya ya kikabila yametokea Kenya yanaonesha mna UKABILA sana
Sisi hapa Tanzania hakuna udini, na hii issue haijawahi kuwa serious kama ilivyo kwa ukabila nchini Kenya. Tanzania kilichotokea ni huyo sheikh aliyelipwa kujaribu kuleta udini na ameshindwa kwa jina la Yesu, inshaallah
Kwani dodoma walighaili kujenge uwanja?Sidhani kama ataweza! Lets be real! Mi naona miradi miradi yoote ya huu muhula itaenda Zanzibar kama mradi wa uwanja wa.mpira Dofoma ulivyoibukia Zanzibar!
Nairobi Walker huwa unasema Tanzania kuna udini. Angalia mwenyewe uone jinsi tulivyo na mshikamano.
Ndio maana nasema wewe huijui Tanzania, kazi yako ni ku google tu information zinazokufavour
Tanzania has better people than Kenya, sisi hatuna UKABILA wala UDINI
View: https://www.facebook.com/100064575493778/posts/pfbid02iyxro4rrwj8rzcnkbWqG96YANsUzM7w1mM5CxwSJRxwJtKoirmRJoLUyjo6S2bUgl/?app=fbl
Kenya hakuna udini wee mzee. Usidhani sisi ni nyinyi.Wao kwao kuna ukabila na sehemu yenye ukabila hukosi udini
Sehemu yenye ukabila huwezi kosa udini usifosi tufananeKenya hakuna udini wee mzee. Usidhani sisi ni nyinyi.
Hapa kwenye nini? Limefikia hapa wapi? Mbona unaongea propaganda tu na kuweka negative narrative kwa vitu ambavyo havipo? You are creating your own problem in your head and find solution yourself. Kwakuwa unajua kutumia mitandao unataka kuwaaminisha watu kuwa watu fulani ni wabaya.Aliyeleta na kukubali mkataba wa hovyo wa bandari ni Kikwete, kiongozi wa mtandao wa uovu na ndie aliyemchomeka Samia kama vice president kwa kumanipulate chaguo halisi la Magufuli, Dr Hussein Mwinyi.
Kama mngekuwa hamfanyi vitu kwa mihemko, taifa lisingelifika hapa. 🚮
Mnajua Bongo kufanya nini? Kwani kukaa kwenye nchi yenu hamuwezi? Lazima mfuate sheria zote za Tanzania. Na sasa tutawatomba mno.Mmejua leo?
Sisi ambao mmeharrass miaka mingi sababu kuwa na namba plate ya Kenya huko bongo, tulijua kitambo.