Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Walker huwa unasema Tanzania kuna udini. Angalia mwenyewe uone jinsi tulivyo na mshikamano.
Ndio maana nasema wewe huijui Tanzania, kazi yako ni ku google tu information zinazokufavour
Tanzania has better people than Kenya, sisi hatuna UKABILA wala UDINI

View: https://www.facebook.com/100064575493778/posts/pfbid02iyxro4rrwj8rzcnkbWqG96YANsUzM7w1mM5CxwSJRxwJtKoirmRJoLUyjo6S2bUgl/?app=fbl


acha kujidanganya hakuna mshikamano kati ya Christian na muslim, they will catch you sleeping ndiyo utajua kwamba wenzako wako vitani tangia muda mrefu ila ni wewe tu ndo uko in denial ...
 
The standards being set here are crazy
There will be a railway line connecting it to Bomas and the contract has already been awarded
View: https://youtu.be/1p_H0C_nGOs?si=ZvcDcGUcmnHz7-Xu
IMG_4737.jpeg
IMG_4739.jpeg
IMG_5338.png
IMG_5337.png
IMG_5340.png
 
acha kujidanganya hakuna mshikamano kati ya Christian na muslim, they will catch you sleeping ndiyo utajua kwamba wenzako wako vitani tangia muda mrefu ila ni wewe tu ndo uko in denial ...
Umewahi kuishi Tanzania? Unatamani tuwe na udini ila bad news for you
Tanzania hakuna UDINI
 

Bagamoyo port: Tanzania to commence constructing $10 billion sea port in December​



Hii inawauma sana wakenya Kwikwikwikwikwi
ICC wameshaanza kazi huko, kwa mara ya kwanza East Africa haki inakwenda kutendendeka.
 
Hao mapolisi wazanzibari wameuwa Watanganyika kwa Nini?
Walioua Watanzania ni wengi, kulikuwa na mapolisi kutoka Uganda, kulikuwa na wanajeshi wa Tanzania (Zanzibar na Mainland) na kulikuwa na mapolisi wa Tanzania pia. Hakukuwa na kikundi kimoja, vikundi vya wauaji vilikuwa vingi
Wameua watu ili Samia abaki madarakani, kuna kikundi kikubwa behind kinaitwa CCM Mtandao ndio wanafanya yote haya ili waendelee kufanya ufisadi, na only way ya kufanya ufisadi ni kumbakisha Samia madarakani, au at least mwanamtandao mwenzao
Dini haihusiki at all, kwa sababu wameua Watanzania wakristo kwa waislamu, watu wazima kwa watoto, wanawake kwa wanaume, bila kujali kabila pia
Hujui siasa za Tanzania bado. Tanzania hakuna udini. Kubali tu hujui kitu
 
Back
Top Bottom