Bakuli za supu panafaa sana kwa shughuli za Jangwani hapo 😁hourly dose
View attachment 3535079
Bakuli za supu panafaa sana kwa shughuli za Jangwani hapo 😁hourly dose
View attachment 3535079
hii nchi kila mtu awahi chake, hadi national park zishaanza kuuzawa
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2016368134366888137?s=20
Njedengwa ni next level Coporate area. Hivi embassies zitakuwa huko pia ama?Ni shida sana , Serikali Iko very conservative.
Hii hapa ni TCRA HQ ujenzi unaendelea hapo Ndejengwa
View attachment 3535557
Definitely maana Kuna hotel ya 5 star pia inajengwa.Njedengwa ni next level Coporate area. Hivi embassies zitakuwa huko pia ama?
aya sasa, sehem ya kuzipeleka izo pesa mnajua 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2016398335318339864?s=20
Scrap ni lile bichwa ngombe la escape from Sobibor linapasa liwe kwenye railway museum as we speak.Your trains are just scraps, nothing else to describe them.
Mnapatwa Hadi na Uganda lakini KAZI yenu nikufuatilia Tu Kenya😂😂.We are unperturbed by fantasy data. Kazi ni moja tuu kukimbiza mwizi kimya kimya tuu.
kuna mtu anataka kukaza?Naskia a Tanzanian Billionaire wants to acquire the stak! Whether they want it or not Safaricom will be sold! 2027 is around the corner and Ruto needs mula!
ungejua tayar mpo kwenye extremely poor countries ungetafuta nchi ya kuhama mapemaMnapatwa Hadi na Uganda lakini KAZI yenu nikufuatilia Tu Kenya😂😂.
In 3 years time Tanzania will be the 5th biggest economy in East Africa after
1. Kenya
2. Ethiopia
3. DRC
4. Uganda