President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
4 Countries FIFA Qualified from CAF - Kenya wanaumia
Hawa mdomo tu wala hawana shida tunawamudu vizuriWakenya ni matapeli, Tanzania ikae mbali na ushirikiano na watu hawa
ule ya under 20 inaanza kesho?4 Countries FIFA Qualified from CAF - Kenya wanaumia
View attachment 3586815
View attachment 3586816
View attachment 3586817
View attachment 3586818
Dunia yote inawajua wakenya ni waongo, hakuna mtu anayeweza kumuamini mkenyaHawa mdomo tu wala hawana shida tunawamudu vizuri
We endela kufanya wishful thinking. SGR ya Tanzania haifiki bandarini kama ya Kenya View attachment 2254667
Binafsi nataka waondolewe kabisa kwenye huo mradi,jamaa ni wanafiki vibaya mno
Umeskia mahali ameongelea pipeline?😂😂🤣Labda hayo mafuta ahamishe na malori au meli lakini channel ya pipeline from Tanzania hilo sahauni
Kwan ruto ameamua anataka kuweka wap refinery? maana naona mnajiamulia sanaUmeskia mahali ameongelea pipeline?😂😂🤣
Hatuna sababu ya kulia. Nyie ni watu wa kelele mitandaoni lakini ground ni ZERO.Lieni mkitaka😂😂🤣
Utajenga refinery kwa inlet ya gallons? Au atatumia yale ya Lokichar ambayo hata kujaza tu bodaboda za Turkana hayatoshi? 🤔Umeskia mahali ameongelea pipeline?😂😂🤣