President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Soma maelezo yangu haya mafupi uyaelewe kaka. Upo na knowledge ya kibeki but Macroeconomics huenda kidogo inakupiga chenga.3. Uaminifu (Trust) Unasimamiwa na Ukwasi (Liquidity), Sio Maneno
........kuna sehem nliielezea hii vizuri uko juu kama umesoma zote
2. Kosa la Kufikiri Benki Kuu ya Korea Inalipa "Bure"
........ Yes, korea watatoa ela kutoka benki kuu na kucredit akaunti ya mkandarasi and the transaction is settled, korea will never ask Tanzania for any money. because they have a working relationship already, You might find it as cheating but remember the start i told you, TRUST IS ALL thats NEEDED, you dont need to have anaccount anywhere, its all about i trust the bank of korea and when money is sent, i can acknowledge it
.......... Swift is simply saying, hey give President of China real $1M and the central bank of korea just types new money to your account and you have now a valid money to spend, you will receive it through a local bank
1. Daftari la Mahesabu (Ledger) Haliwezi Kuwa na Namba Hewa
......... Halina kitu, its only there for reading and its only a ledger not a transfer account
Je, ni kweli Korea ikitumiwa ujumbe itamlipa mkandarasi wake Won na muamala ukaisha upande wao?
Ni kweli Benki Kuu ya Korea (Bank of Korea) ina uwezo wa kuchapa au kuandika Won za Kikorea (KRW) kiasi chochote kwenye akaunti ya mkandarasi wao. Lakini kosa lake la kufikiri ni hili; unadhani kwamba kwa sababu muamala umeisha kati ya Benki Kuu ya Korea na Mkandarasi wao, basi umeisha pia kati ya Korea na Tanzania.
Ukweli wa Kiuchumi
Benki Kuu ya Korea haiwezi kumpa mkandarasi wake mabilioni ya Won "bure" kwasababu ya "imani ya maneno tu" na Tanzania bila kupata kitu chenye thamani sawa na hizo Won (an asset of equivalent value). Wanachopata Korea ni Digital USD Claim (Dola za Marekani) zilizokatwa kutoka kwenye Akiba ya Nje ya Tanzania.
Kama Korea ingekuwa inafanya kazi hiyo bure bila Tanzania kukatwa chochote kwenye vitabu vya kimataifa, basi Korea ingekuwa inapata hasara kubwa kwasababu ingekuwa inaingiza Won nyingi mpya mtaani kwao (inflation) kufanya kazi ya Tanzania, huku yenyewe haipokei rasilimali yoyote ya kigeni ya kwenda kununulia mafuta au malighafi nje ya nchi yake.
Hakuna Benki Kuu duniani inayofanya hisani hiyo.