Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Museven kawaambia kabisa saudi arabia kuna refinery 9,so aoni hata ajabu tanga na hoima kuwa refinery πŸ˜ƒ

General M7 alipiga kwenye mshono pale pale. Wazee hawanaga unafiki kabisa. Alimchana live.

Sasa hiyo ianze kuwapa uhalisia wa biashara yao hiyo. Kuanzia wapi watanunua mafuta ghafi na wapi watauza mzigo wao. Itabidi wankabidhi Dangote nusu ya nchi kushikilia mtaji wake atakaoweka hapo.
 
Machafu mnuka nyaa ameng'ang'ania tanga aijengwi refinery πŸ˜ƒ,yan wangese wamekurupuka kujenga refinery halafu oil pakuipata hawajui mpaka sasa hivi,wanakuambia turkana eti πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…