Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Tanzania tunataka kiwanda cha ku assemble Yutong kwa sasa maana tunanunua nyingi sana kwa mwaka
 
Mbona unatokwa na povu?
 
inasaidia nn taifa hii miss grand boss??? au tuwe machawa tu
kama hali yenyewe ndio hiii


View: https://www.instagram.com/p/DeZkGt2Ft7v/?rpxt=emp4OGl2NnZ5Z2Jj
 
so kwa akili yako unadhani vitol atajenga refinery tanga? hio ni danganya toto mzee ile ilikua siasa ya kufunika vuguvugu hili la dangote, mafuta ya uganda yanakuja huku kama crude oil ambayo ni export, yani uganda aache kujenga refinery kwake aje akupigie debe kwako wakat mafuta ni yake😂😂😂😂😂 kweli uchawa ni cancer ya hili taifa
 
Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?
shida hii nchi sijui tumekuaje bro na mm nimeamini uchawa ni catastrophe ya nchi hii yani 17b usd investment mtu anakwambia tusingefaidika 😂😂😂😂
 
Watu walikuwa washatia mkono kwenye sufuria la Vittol halafu anakuja mtu anasema Tanga lazima uchanganyikiwe kitumbua kinataka kupotea hivihivi kwa kauli isiyo ya kiitifaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…