Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hata wewe si unaweza mtafuta mwekezaji akawekeza kuliko kupiga kelele hapa?
Kuna watu wanafanya kazi ndo maana unaona alipatikana? Lakini pia serikali haifanyi biashara bali ni kuweka mazingira kwa ajili ya uwekezaji.
Pia acha kuwa mjinga nenda tandahimba ukaone MAMCU wanavyojenga kiwanda kikubwa Cha korosho, pia Kuna small scale industries za kufa mtu ni wewe TU na akili yako ya kulalamika
sio kazi yangu kutafuta, ila nitakwambia nini chakufanya kwanza ondoa rushwa, ondoa ukiritimba,ondoa vishoka, jenga miondombinu wezeshi na ya uhakika alaf utawaona hao waekezaji wakija bila kuitwa
 
Wakenya wanaopost nchi yao sio machawa ila Watanzania wanaopost nchi yao ni machawa. 😂😂😂
Wewe una changamoto ya afya ya akili.
Tunapost maendeleo ya Tanzania humu, kuna mtu umeona anapost viongozi?
Ni huzuni kubwa. Wengine maumivu yao huwa wanayatoa kwa kuwaumiza wengine. Ni kukosa malezi bora

Tumsamehe, hana maadili yetu
 
yani mm nilikua nikidhani marcopolo za tanzania zinatoka south africa kumbe ni AVA kenya, tulikua tunashupaza shingo tu hapa😆
yani mm nilikua nikidhani marcopolo za tanzania zinatoka south africa kumbe ni AVA kenya, tulikua tunashupaza shingo tu hapa😆
HU2HBQlXMAAzWjG.jpg
 
Yani mtu ako hapo bongolala penye mshahara yake haifiki 50k ya Kenya achangie mtu ako nchi yenye minimum wage ni $15 per hour, yani akiamua afanye kazi ya chini kabisa for ten hours a day anaingiza $150. 🤣 🤣 🤣
Mr. Gaylord will tell you that he used to earn that $150 per day in 1974.
 
Are you a village comedian?
Hako sacos ka equity wame rent kajengo fulani kamechoka pale Mwenge ndio wana investment ya 700M?🤣🤣🤣
Equity has never owned any building, even in Kenya they have rented a space. Why tie your money in a dead capital when you can rent and save the rest for doing other productive things?

It seems economics is not your thing, ooh sorry, I forgot you are among the 69% Tanzanians who didn't get secondary school education.
 
asante kwa TBT kwa kweli tulikua tunashupaza shingo tukidhani tuko mbele
sikuwah kufkiri mpaka marcopolo za bongo zinatoka AVA 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ungejua vile unaudhi hawa chawa, ingekuwa karibu wangekunyonga😂😂🤣
 
sio kazi yangu kutafuta, ila nitakwambia nini chakufanya kwanza ondoa rushwa, ondoa ukiritimba,ondoa vishoka, jenga miondombinu wezeshi na ya uhakika alaf utawaona hao waekezaji wakija bila kuitwa
Vishoka nayo kazi , kuondoka rushwa kunaanza na wewe , halafu mwekezaji hatakiwi kutokea nje bali ni fursa za watu wa ndani kuwekeza kama wewe hujaiona hiyo fursa basi usilalamikie wengine, tembea uone watu wanavyowekeza na wala hawana ukiritimba kama wewe. Hivi unajua Tanzania ndo Ina exports nyingi za manufactured goods kuliko nchi yoyote ya east Africa?
Kipimo Cha uwekezaji ni exports sio maneno ya au showoff za mtaan
 
Back
Top Bottom