Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
heheh mbna zile data nlizokutumia mwanzo za mauzo ya tanzania nje ya nchi umeyakimbia 😂 😂 ulisema kwamba sisi tunauza gold kwenda kenya sio 😂😂just go ahead wala usisite niko tayar kujibu kwa hoja ukiwa tayar kwa hilo
Kwahio you will tell black & white kwa kupost kenya sio 😂😂😂nimekwambia yapo mazuri tutayaongelea lakini m kua chawa wa kushangilia na kusema mambo ya uongo uongo siwezi
kwangu mm black i will tell u is black na sio white
vp kiwanda chako cha kuongeza mnyororo 😂😂😂hii ndio shida ya kua mtanzania hatupendi ukweli kabisa
kama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sana😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻Vishoka nayo kazi , kuondoka rushwa kunaanza na wewe , halafu mwekezaji hatakiwi kutokea nje bali ni fursa za watu wa ndani kuwekeza kama wewe hujaiona hiyo fursa basi usilalamikie wengine, tembea uone watu wanavyowekeza na wala hawana ukiritimba kama wewe. Hivi unajua Tanzania ndo Ina exports nyingi za manufactured goods kuliko nchi yoyote ya east Africa?
Kipimo Cha uwekezaji ni exports sio maneno ya au showoff za mtaan
nani mwingine unataka kumtetea mletekama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sana😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻
una export nn bro? ikiwa mpaka mchele una import from pakistan and india over 16.5m usd kwa mwaka
leo una export korosho as raw material alaf zinapelekwa india na kenya zinapita kwenye viwanda wanafanya clear packaging wanazipeleka duniani zikiwa made from their country.
what kind of goods are we exporting ikiwa toothpick tumeshindwa kuzalisha mpaka zitoke china, tuna export nn zaidi ya kuuza dhahabu mpaka za reserve? au ww hujui kama dhahabu inaisha?
ukienda supermarket zetu zimejaa bidhaa za wakenya mpaka maziwa zipo kutoka kenya, hebu funga safari hapa nenda kenya kama utakuta maziwa ya tanzania, hardly utapata azam energy na zenyewe market yake ni wala mirungu tu wachache
hizi ni bidhaa mbili tu kwa haraka nimenunua kwenye supermarket zetu and zinatoka kenya alaf ww una export nn???
View attachment 3699528View attachment 3699529
who owns wewe itakusaidia nn? ikiwa plant iko mombasa kenya na imeajiri wakenya na wanalipa kodi na bado wanatuuzia sisi magariand who owns AVA?
View attachment 3699521
😂😂😂 imeajiri nan unasema 😂😂😂 tuonyeshe wakenya wakiwa ndan pamoja na zile master 😂😂who owns wewe itakusaidia nn? ikiwa plant iko mombasa kenya na imeajiri wakenya na wanalipa kodi na bado wanatuuzia sisi magari
alafu vp ulisema tunategemea gold kufanya export vp tuonyeshe trade data ya gold tunayofanya na kenya 😂😂😂 btw si unajikuta mzee wa black and white kwann unakwepa ili swali, unaogopa nn 😂😂who owns wewe itakusaidia nn? ikiwa plant iko mombasa kenya na imeajiri wakenya na wanalipa kodi na bado wanatuuzia sisi magari