babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Ulimuambia nani kuna hayo mazuri? 😂😂😂nimekwambia yapo mazuri tutayaongelea lakini m kua chawa wa kushangilia na kusema mambo ya uongo uongo siwezi
kwangu mm black i will tell u is black na sio white
Ukiwa mkosoaji hakikisha unakuja na facts na sio hizi hisia zako.
Nimekuuliza swali la msingi, mkunya kusifia nchi yake ni sawa ila Mtanzania kusifia nchi yake ni uchawa? Hujajibu.
Huku tunapost maendeleo ya Tanzania hakuna mtu anapost viongozi, nenda jukwaa kwa siasa maana kule ndo wanafungua nyuzi za siasa.