babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Ulimuambia nani kuna hayo mazuri? πππnimekwambia yapo mazuri tutayaongelea lakini m kua chawa wa kushangilia na kusema mambo ya uongo uongo siwezi
kwangu mm black i will tell u is black na sio white
Sasa ba mnyogode, ukitaka tuweke made in Tz humu si utakimbia hii thread.?kama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sanaππππππ»ππ»ππ»
una export nn bro? ikiwa mpaka mchele una import from pakistan and india over 16.5m usd kwa mwaka
leo una export korosho as raw material alaf zinapelekwa india na kenya zinapita kwenye viwanda wanafanya clear packaging wanazipeleka duniani zikiwa made from their country.
what kind of goods are we exporting ikiwa toothpick tumeshindwa kuzalisha mpaka zitoke china, tuna export nn zaidi ya kuuza dhahabu mpaka za reserve? au ww hujui kama dhahabu inaisha?
ukienda supermarket zetu zimejaa bidhaa za wakenya mpaka maziwa zipo kutoka kenya, hebu funga safari hapa nenda kenya kama utakuta maziwa ya tanzania, hardly utapata azam energy na zenyewe market yake ni wala mirungu tu wachache
hizi ni bidhaa mbili tu kwa haraka nimenunua kwenye supermarket zetu and zinatoka kenya alaf ww una export nn???
View attachment 3699528View attachment 3699529
Watakabwa wageni wengi sana hapo msituni Ngong π
Watu waongo waongo, so kumbe ni chuki na hisia! πππkama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sanaππππππ»ππ»ππ»
una export nn bro? ikiwa mpaka mchele una import from pakistan and india over 16.5m usd kwa mwaka
leo una export korosho as raw material alaf zinapelekwa india na kenya zinapita kwenye viwanda wanafanya clear packaging wanazipeleka duniani zikiwa made from their country.
what kind of goods are we exporting ikiwa toothpick tumeshindwa kuzalisha mpaka zitoke china, tuna export nn zaidi ya kuuza dhahabu mpaka za reserve? au ww hujui kama dhahabu inaisha?
ukienda supermarket zetu zimejaa bidhaa za wakenya mpaka maziwa zipo kutoka kenya, hebu funga safari hapa nenda kenya kama utakuta maziwa ya tanzania, hardly utapata azam energy na zenyewe market yake ni wala mirungu tu wachache
hizi ni bidhaa mbili tu kwa haraka nimenunua kwenye supermarket zetu and zinatoka kenya alaf ww una export nn???
View attachment 3699528View attachment 3699529
Tafuta supermarket yoyote unioneshe maziwa ya kutoka kenya ukiyapata uniambie nikulipie mm ππππ
Dar fresh
Tanga fresh
Azam
Assas
Musoma diary
Farmers fresh
Tan diaries
West kilimanjaro
Engiteng
Maziwa mbeya
Etc hzo zote ni kampuni kubwa na ww unaonekana tanzania bado huijui πππ tafuta soko la maziwa kenya ukilipata unitag mm eti unabana saut supermarket zote zimejaa maziwa ya kenya ww hata supermarket unazijua ikiwa unatokea sumbawanga vijijini π€£π€£π€£π€£
supermarket zipo mpaka juice zinatoka UK, south africa, etc hakuna bidhaa inakataliwa kuingia tanzania swali je soko lipo ?? hata sabuni ya omo 10yrs ago ilikua na soko kubwa ila kwasasa omo haina soko kabisa tanzania kwasababu makampuni ya sabuni tanzania yanachuana vibaya mno. yani wewe hoja yako ni ya kipumbavu kabisa
au unataka kusema azam energy ikiuzwa kenya inamana hakuna energy zingine??
apo lazima ngeta zitembeeWatakabwa wageni wengi sana hapo msituni Ngong π
It will be the dumbest most useless AI model, if it can even be called an LLM model.
why dont you develop yours for slum users when afterall kikuyu make up the largest population in pipeline and kibera ππIt will be the dumbest most useless AI model, if it can even be called an LLM model.
For example how many scientific or medical or engineering literature exists in Kiswahili for the AI to train on?
You can clearly tell this is the idea of a computer illiterate CCM politburo boomer.
LLMs consume data. Good luck training anything useful on a 0.1% data limit.
View attachment 3699560
Tafuta chakula, Njaa imekula ubongo wakoIt will be the dumbest most useless AI model, if it can even be called an LLM model.
For example how many scientific or medical or engineering literature exists in Kiswahili for the AI to train on?
You can clearly tell this is the idea of a computer illiterate CCM politburo boomer.
LLMs consume data. Good luck training anything useful on a 0.1% data limit.
View attachment 3699560
Forcing unnecessary issuesβ¦ next they will test Kinyamwezi model β¦π€£π€£π€£It will be the dumbest most useless AI model, if it can even be called an LLM model.
For example how many scientific or medical or engineering literature exists in Kiswahili for the AI to train on?
You can clearly tell this is the idea of a computer illiterate CCM politburo boomer.
LLMs consume data. Good luck training anything useful on a 0.1% data limit.
View attachment 3699560
Kwa hivyo hawa ni watanzania?πππ imeajiri nan unasema πππ tuonyeshe wakenya wakiwa ndan pamoja na zile master ππ