Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hiyo ajali ingetokea Tanzania wapinzani wangepata cha kuongeaπ€£ukiwa huna high speed electric train unaweza dhan spain ni wazembe
View: https://x.com/sholard_mancity/status/2115405069357027506?a=0Ox9eUDpgNuMnCXjwe8&s=20
tungekua hatuhemiHiyo ajali ingetokea Tanzania wapinzani wangepata cha kuongeaπ€£
Only if it includes a package to see wild animals in the surroundings π€£π€£π€£Do you think Bayern wangekubali kucheza Arusha Stadium?πππ€£
View: https://x.com/FCBayern/status/2115458681806413840?a=JEGGpz5owK3Ll_VXfk4&s=19
there is nothing like a package you have to pay them, si mmeaomba waje kufungua π π π btw life after AFCON will be so tough because you will need to pay people to come and play there for it to be relevant πOnly if it includes a package to see wild animals in the surroundings π€£π€£π€£
Whats the official capacity ? And donβt exaggerateβ¦πHuu ni uwanja wetu watatu under construction in Tz, n itβs 20% done. ππΎDodoma stadium View attachment 3700424View attachment 3700425View attachment 3700426njoeni Tz mjifunze nyie mbweha. πππ mwaiofhawaii. This Dodoma stadium will be more beautiful compared to Amohoro stadium of Rwanda.
How does it concern you?How much have you paid?
Kwani Sisi ndio hatujengi irrigation scheme?Wakati wanahangaika kujenga affordable housing huku wananchi wao wakiendelea kufa njaa, tz wanajenga irrigation schemes ili wananchi waendelea kuzalisha na kujitoa kwenye umaskini, ili huko mbele waje wajenge maghorofa yao
Haya bnakwakua unahisi watu wote ni wajinga πππ
Siasa za kijinga,hata wao wakipewa nchi hawawezi kuifanya kama europe au america,yan TZ watu wanaanza jan to dec,wanasiasa wa TZ hawanaga kusubiri kipindi cha uchaguzi au lah,wao ni siasa tu,ndio maana magu alifungia masuala ya siasaWao wanadhani ili uonekane mwamba ni uchukie hadi nchi!
Ujinga wa kiwango cha uzuzu,mazuzu wanajisifu kabisa,kuna m1 nimeona kasema "bayern unavyodhani watakubali kucheza kwenye kiwanja cha arusha" ππStrange , you do have teams in Kenya donβt you ?
Launching a national stadium with foreign teams is something I have never seen it before , atleast invite a national team friendly with your Poor harambee stars, Or A foreign team Vs Local team.
I wonder how much did your corrupt government spent to bring those teams to Kenya.
Ingemake sense kama timu yao ya taifa au club yao kubwa ingealika timu kubwa ya Europe na sio eti unajenga uwanja halafu unalipa timu za nje kuja kuzindua, ila simlaumu maana ana uchaguzi mwakani lazima afanye vitu vya kupumbaza wapiga kura. πππUjinga wa kiwango cha uzuzu,mazuzu wanajisifu kabisa,kuna m1 nimeona kasema "bayern unavyodhani watakubali kucheza kwenye kiwanja cha arusha" ππ
Wenyewe wanafurahi kabisa ππIngemake sense kama timu yao ya taifa au club yao kubwa ingealika timu kubwa ya Europe na sio eti unajenga uwanja halafu unalipa timu za nje kuja kuzindua, ila simlaumu maana ana uchaguzi mwakani lazima afanye vitu vya kupumbaza wapiga kura. πππ
Wanaringishia Tanzania. πππWenyewe wanafurahi kabisa ππ