Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar yetu

Saphire Heights. Dar es salaam
sea%20castle.jpg
 
Daah
😀😀
Tena yuko serious
hilo ndio tatizo lao sasa mtu anakuja anakwambia kenya has the fastest internet in africa and middle east hahaha hawa naona akili zao fupi sana, eti middle east hahahahha
 
Real beautiful. Na ukicheki hiyo bahari ndo usiseme.

Please tutupie basi double road ya Arusha. Nasikia imenoga ile balaa.
tunataka battle za kisumu na mombasa sasa niwaoneshe balaa na wonders za huko heheheeh hamutoamini na hamutoangalia mara mbili
 
Ahaaa haaa ... Kenya hamna mji mwingine zaidi ya Nairobi. Wenyewe Nairobi ndo Kenya. Miji mingine siyo Kenya. Ndo maana wanawekeza bajeti ya nchi yote NAIROBI.
 
hilo ndio tatizo lao sasa mtu anakuja anakwambia kenya has the fastest internet in africa and middle east hahaha hawa naona akili zao fupi sana, eti middle east hahahahha
Unajua mtu kabla hujapost habari inabidi ufanye utafiti kidogo kuhakikisha kama ni kweli au laa.
Kuliko kutuma kitu halafu kikawa ni cha uongo.
Ndugu zetu wanatuma tuu habari yoyote iliyokuwa nzuri hata kama ni uongo.
Hivyo si vizuri, mtu unajiaribia jina.
Kuna watazamaji wazuri mmoja wapo ni mm, hatujawahi kufika Nairobi lakini tushapata idea ya Jiji la Nairobi. Iko sehemu za kufurahia ( ziko sehemu mm binafsi nimezipenda) na zimepangiliwa vizuri saana ndani ya jiji la Nairobi na sehemu zengine hazijapangiliwa na zinasikitisha.
Kwa maoni yangu mm"
Watu wakituma kitu wahakikishe kwanza halafu watume.
 
Ahaaa haaa ... Kenya hamna mji mwingine zaidi ya Nairobi. Wenyewe Nairobi ndo Kenya. Miji mingine siyo Kenya. Ndo maana wanawekeza bajeti ya nchi yote NAIROBI.
Viwanda vyote vya Kenya,uchumi wote wa Kenya uko Nairobi hehhehehe
 
Unajua mtu kabla hujapost habari inabidi ufanye utafiti kidogo kuhakikisha kama ni kweli au laa.
Kuliko kutuma kitu halafu kikawa ni cha uongo.
Ndugu zetu wanatuma tuu habari yoyote iliyokuwa nzuri hata kama ni uongo.
Hivyo si vizuri, mtu unajiaribia jina.
Kuna watazamaji wazuri mmoja wapo ni mm, hatujawahi kufika Nairobi lakini tushapata idea ya Jiji la Nairobi. Iko sehemu za kufurahia ( ziko sehemu mm binafsi nimezipenda) na zimepangiliwa vizuri saana ndani ya jiji la Nairobi na sehemu zengine hazijapangiliwa na zinasikitisha.
Kwa maoni yangu mm"
Watu wakituma kitu wahakikishe kwanza halafu watume.

Wenzie kutafuta sifa kulisha wamaliza
wao wanaangalia sifa kuliko ukweli
mmoja yupo radhi apost nyumba yako mwenyewe akikuambia kwake kumetulia!!

Mwaka jana kuna mkenya alipost Insta daraja la Nyerere akisema lipo Kenya
Cha ajabu anafuatwa na watanzania wengi kwenye Ac yake!!
Sijui huwa ni ugonjwa au laana tu!!
 
Unajua mtu kabla hujapost habari inabidi ufanye utafiti kidogo kuhakikisha kama ni kweli au laa.
Kuliko kutuma kitu halafu kikawa ni cha uongo.
Ndugu zetu wanatuma tuu habari yoyote iliyokuwa nzuri hata kama ni uongo.
Hivyo si vizuri, mtu unajiaribia jina.
Kuna watazamaji wazuri mmoja wapo ni mm, hatujawahi kufika Nairobi lakini tushapata idea ya Jiji la Nairobi. Iko sehemu za kufurahia ( ziko sehemu mm binafsi nimezipenda) na zimepangiliwa vizuri saana ndani ya jiji la Nairobi na sehemu zengine hazijapangiliwa na zinasikitisha.
Kwa maoni yangu mm"
Watu wakituma kitu wahakikishe kwanza halafu watume.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggrMAQ&usg=AFQjCNHOyegi6Q8O3CU3jGfyN8Eh0gtpmg
 
Back
Top Bottom